Recent content by johnlowasa

  1. johnlowasa

    TCRA tuelezeni wateja wa M-Pesa/Tigopesa wanapofariki warithi wanapataje haki zao?

    Hivi pesa zinazokuwemo kwenye simu za watu waliofariki zinapelekwa wapi makampuni yanafanyaje juu ya pesa hizo.
  2. johnlowasa

    Natamani kujiunga na TISS, Nifanyeje?

    Kwani TISS wanatesa watu
  3. johnlowasa

    Mwisho wa kulipia kodi ya majengo na ardhi ni lini?

    Hivi wandugu kodi anayozungumzia Mh. Lukuvi ni ipi ni ya Majengo au Ardhi kwa maana tarehe ndio zimeshafikia mwisho msaada wa kujua ni ipi kati ya hizo mbili mheshimiwa alisisitiza tulipe na mwisho ni tarehe 30 mwezi huu wa 5.
  4. johnlowasa

    Bifu la ASKOFU Gwajima na Nabii Bushiri lafikia patamu

    Wizi tu hata sijui waumini wanenda kufnya nn nashauri waumini wahojiwe huenda wanamengi wananashindwa kuyaeleza
  5. johnlowasa

    Majeruhi ajali ya Watoto wa shule Arusha kupelekwa Marekani kwa matibabu zaidi

    Wanaenda kuonana na mange kimambi[emoji38][emoji38]
  6. johnlowasa

    Siku ya kwanza

    Siku ya kwanza kupanda ndege ulijiskiaje?
  7. johnlowasa

    Confession: Ilikuwaje ukatembea na mke/mme wa mtu?

    Nakumbuka nilifika kwenye kiduka kimoja mkoa nikaagiza vitu vyangu na kulikuwa na bia bas nikawa naburudika moja mbili mdada aliyekuwa dukani wamakamo tu story hapa na pale nikanogewa nikaa kwa muda mrefu sana hadi mumewe akatokea kumbe huwa wanapokezana kuuza na siku hiyo kulikuwa na birthday...
  8. johnlowasa

    Sakata la vyeti- Makamu Mkuu UDOM Prof I.Kikula naye atajwa

    Da unamuona mdingi kila silu anaenda job kisha leo unamuona anacheti feki wakati akikuhimiza wewe usome huwa anajigamba kuwa yeye alikuwa kichwa noma kweli
  9. johnlowasa

    Sakata la vyeti- Makamu Mkuu UDOM Prof I.Kikula naye atajwa

    Hayo majina yawekwe kwenye database kila mtu aweze muangalia kama matokeo ya kidato cha nne
  10. johnlowasa

    Wezeshasasa.com

    Nimewaelewa sana hawa vijana waliofanya hiki kitu ubunifu mzuri sana hongera kwenu www.wezeshasasa.com
  11. johnlowasa

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Maoni yangu kuna watu wanaweza kuwa wananufaika ila ndio maana ni kwa miezi tisa tu kama sikosei mkataba wao knachokwenda kutokea nnachokiwaza mm ni kwamba wanatengeneza trafiking ya watu kuamini hao wanaopata wanawahamasisha wenzao kwa comfidence zote ndipo makundi kwa makundi yanakwenda kukopa...
  12. johnlowasa

    UTAPELI: Kampuni ya D9 (DNINE) ni kina nani? Nani kawapa kibali cha kazi Tanzania?

    Siisikii ile foreverliving au labda wameshakuwa matajiri wote u never know
  13. johnlowasa

    Series (Special thread)

    Designated survival nzuri sana
  14. johnlowasa

    RPC Arusha: Tunamshikilia mmiliki wa shule ya Lucky Vicent, atapelekwa mahakamani

    Hivi daladala zinazokwenda makumbusho temeke au ruti nyingine hazina sheria hizi za kuwa na abiria idadi kamili maana naona huwa wanazidi 30 na yanatembea tu bila shida au ni kwa mabasi ya wanafunzi tu nieleweahen hapo
Back
Top Bottom