Kwa kweli mudhuhir kisiasa ameisha tena sana tu, enzi zake zimepita na haziwezi kurudi tena na huu ugonjwa wa kupoteza jimbo sasa umemwingia anataka kutafuta mchawi, namshauri arudi akafundishe kwaya shule za msingi, elimu yake ndogo haiwezi kutusaidia kujenga Tanzania Imara na ya matarajio kwa...