Recent content by johncarlos

  1. johncarlos

    DAR: Jengo la NHC zilipo ofisi za Tanzania Daima na Billicanas laanza kubomolewa

    Hii haijakaa poa hta kidogo Sent from my Y3S using JamiiForums mobile app
  2. johncarlos

    Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    Umenikumbusha mbali sana wkt nilipokuwa na umri mdogo, wazazi wng pamoja na walimu shuleni walinichapa sana na kuufunga mkono wang wa kushoto ili tu niache kuutumia lkn ilishindikana. Kitu walicho faulu ni kunifanya niandikie kulia lkn mengine yote walifeli Sent from my Y3S using JamiiForums...
  3. johncarlos

    Zitto utapotea, achana na Rais Magufuli!!

    Wkt mwingine bora mtu ukae kimya
  4. johncarlos

    Zitto utapotea, achana na Rais Magufuli!!

    Doooh! ngj me niende zng maana.....
  5. johncarlos

    Nyoka wa ajabu

    Acha tamaa focus kwny jambo moja na umuombe MUNGU atakusaidia.
  6. johncarlos

    Nyoka wa ajabu

    We n mtu usie na maamuzi sahihi na msimamo thabiti
  7. johncarlos

    Ujumbe wa Diamond kwa bintiye Wazua Utata

    Mwacheni na mwanae, kama n kula tutakula kidogo
  8. johncarlos

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania ni Bernard Membe - Gazeti la India

    Tanzania inabidi tuamke tulipo lala
  9. johncarlos

    Natafuta mwanaume mgane

    Muombe Mungu atakupatia, lkn utoke utafute
  10. johncarlos

    Natafuta mwanaume mgane

    Mama wee, kuna uzima dada??
Back
Top Bottom