Recent content by john tough

  1. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli na usiginaji wa Katiba, ni makusudi ama?

    Qn. Angechaguliwa wa ukawa ungesema haya maneno au ndio maneno ya mkosaji..???? Usikasirike,,,,..... Jibu hili swali ndipo nitoe mtazamo /- kwako
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa kituo cha mabasi Tegeta Nyuki, Dar

    Huyo atakuwa kapewa viroba....hana adabu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Wnatoka wap? Wakati ww upo
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Naombeni ushauri nina milion 5 naweza kuzifanyia kitu gani kwa mda mfupi ikazalisha or naomben mnipe ideal ya b'ness
  5. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

    Binhai...ingekuwa msomi hii hoja yako haukupaswa kuandika hvo... Na ukiangalia msg yako inaonekana ukawa kabisa.... Nikushauri tuu...hoja uako isiwe ya kujidai kama tabia ya panya (kung'ata na kupuliza)...na pia hili swali lakeosio mda wake kuuliza kwani ulipaswa kuuliza prior general...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa Kuongea Na Watanzania Jangwani November 8, 2015

    inamaana ww sio mwanaume halisi..?????????? Ninamashaka nawe.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nadharia kuhusu chanzo na maana ya heshima ya kijeshi ya Mizinga 21

    DUDUS nawe fupisha bana meseji yote hiyo mi sielewi maana swali limeulizwa kwa kiswahili we unaweka mbwembwe.....nisaidie
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nadharia kuhusu chanzo na maana ya heshima ya kijeshi ya Mizinga 21

    Jamani hatuna kosa. Kosa letu ni ku copy not cut and paste
  9. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi UKAWA acheni danganya toto

    Hebu acheni lopolopo angalieni raisi wa africa leo anaapishwa..... Nchini tz baadhi ya searh engine kama hotboot.. Na google zitasimama kwa mda wageni zaidi ya 40 washafika wakiwemo maraisi', na wakilish mbalimbali watakuwepo
  10. J

    JamiiForums Tanzania Magufuli badili salamu

    sema ww usituambie ss... Alafuu acha kusema kuwa salamu zina ubaguzi... Acha kufikiri kinyume.... Rais mteuliwa hana ubaguzi na kama kama ukiangalia mikutano yake mingi alikuwa akisalimu wanchi kwa lugha nyingi bila kusahau selemaa. Mwisho wa salamu huwa husema yeye atakuwa rais wa watanzania...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    ww fuso sijui audi..... Acha hasira suala la ilani huwa haibadiliki yote ktk utendaji na ilani ya chama siyo lazima itekelezwe yote...... Mara mia ungesema kwamba kwakuwa Mrs Ana alikuwa anagombea nyadhifa kubwa yaani URAIS katiba sidhani kama anaruhusiwa kuwa mbunge or minister ...otherwise...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mlima Kitonga vs Mlima Sekenke, upi mkali?

    mlima sekenke sio mkali bali zamani sekenke ilikuwa mbaya na wala sio mkali kutokana na barabara bt now sekenke hautishi na wala sio mrefu sana... Thus kitonga unatisha kutokana na kona nyingi ....hayo ndio maoni yangu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    nakushukuru kwa msaada wako...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nauliza, kama nikitaka passport naanzia wapi? Na je, yaweza kuwa kama tsh ngapi mchakato mzima? Na mwisho inaweza kuchukua muda gani?
Back
Top Bottom