Recent content by John Malanilo

  1. John Malanilo

    Timu ya waliojiita wajumbe wa 'Baraza Kuu' la CHADEMA waenda Mahakamani!

    Gharama zimelipwa na chama cha KIJANI?????? Nawapa pole, Biblia imesema siraha yao haitafanikiwa.
  2. John Malanilo

    Prof Patrice Lumumba kusuruhisha UKAWA na CCM ni baada ya UKAWA kuwagomea Mwinyi na Mkapa!

    Muda huu Kikao kinaendelea jukwaa la katiba kuandaa vikao vyausuluhishi kati ya UKAWA (wanaotetea katiba ya wananchi) na CCM (wanaoteteakatiba ya na msimamo wa Chama chao). Baada ya kikao tutajua kikao cha kwanzakati ya Ukawa na CCM kitafanyika lini na wapi. Profesa Lumumba yupo tayari nchini.
  3. John Malanilo

    Ratiba ya ziara za UKAWA awamu ya kwanza: Tarehe 14 – 27 Mei 2014

    RATIBA YA ZIARA YA AWAMU YA KWANZA YA UKAWA, TAREHE 14 – 27 MEI 2014. TIMU “A”- KANDA YA KATI 1. Mhe. Mosena Nyambabe (NCCR) – Katibu Mkuu, 2. Mhe. Ashura Mustapha (CUF) – Mjumbe wa Baraza Kuu, 3. John Heche (CHADEMA) – Mwenyekiti wa Vijana Taifa, 14/05/2014 MOROGORO MJINI 16/05/2014...
  4. John Malanilo

    Precision may not last long in the air, auditors now warn

    Kawaida watu wenye matatizo utawajua tu. Haya mambo ya ukabila yanakujaje hapa? Kuna kabila gani linaloua au kufirisi mashirika ya umma? Ukiwa hauna cha kuweka hapa, kapumzike kwa amani. Wengine tungefurahi kujadili mambo ya msingi badala ya Ukabila. Nadhani nd maana umejia chuki Ni chuki yako...
  5. John Malanilo

    Huyu ndo Mbowe, kaja na plan B na daima hatabiriki!

    Tanzania tungekuwa na PM kama mbowe ambaye ni Innovative, nchi hii tungekuwa mbali. Siyo wale wanaokalia kulia tu adharani na kugawa hela Dodoma katika dinner mbalimbali huku wakipingan a mani ya watani katikasimu ya katiba!
  6. John Malanilo

    Huyu ndo Mbowe, kaja na plan B na daima hatabiriki!

    Mbowe is the best INNOVETOR IN Tanzania Long life Mbowe Long Life CHADEMA Long life Tanganyika
  7. John Malanilo

    Swali: Maoni ya Rais yanapotofautiana na ya wananchi, kipi ni sahihi?

    Rais wetu mheshimiwa sana Kikwete aliunda tume ya mabadiliko ya katiba na akamteua mtanzania ambaye aliona kuwa anafikia vigezo vyote. Kwanza ni mwanasheria aliyebobea, jaji mstaafu, mwanachama wa CCM, Waziri mkuumstaafu. Akapewa na waheshimiwa wajumbe wa tume hiyo, wote wakiwa weredi katika...
  8. John Malanilo

    Serikali 3 hazikwepeki

    Waheshimiwa, Hii nimeiokota kwenye facebook. Hii ni kutoka Zanzibar... Ndimi mbili ni za shetani, Ona mwenyewe video hii https://www.facebook.com/photo.php?v=10203773728407150
  9. John Malanilo

    Rais Kikwete kweli watu wamekuchoka

    mimi nimezima kila kitu hapa home. Tumechoshwa na ubabaishaji
  10. John Malanilo

    Kwanini Tunaongelea Tanzania na Zanziba tu katika Muungano?

    Ndugu zangu hasa watanganyika, nimesikiliza watu mbalimbaliakiwemo Rais Kikwete na wajumbe mbalimbali wa katiba juu ya hoja za Muungano. Ainaya Muungano, idadi ya serikali n.k lakini bado nina swali gumu ambalo limeshindikana kujibiwa. Nalo nihili Kwanini tunajadili idadi ya serkaliwakati wale...
  11. John Malanilo

    Tujadili: Uamuzi wa kuzuia bodaboda kuingia katikati ya jiji ni sahihi?

    Maadam Serikali imeishakusanya kodi yake, hata bodaboda wakikosa pa kufanyia biashara, serikali haipati hasara yoyote maana umeisha Chukua Chao Mapema (CCM). Masikitiko matupu
  12. John Malanilo

    JK: Sikuidhalilisha Tume ya Warioba

    Ni 62% wanaotaka serikali tatu. Kama alitaka mil 45 wote watoe maoni, Warioba asinge ruhusiwa kufanya sampling. Angepitisha kura ya maoni nchi nzima juu ya ya aina ya Muungano unaotakiwa. Madam sampling ilikubaliwa kwa ToR, basi Warioba yuko sahihi mpaka kesho. AnayepingaTnaganyika urudi...
  13. John Malanilo

    Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    Kwa anayekufa "natural death" kwa maana ya uzee.Lakini vifo viko vya namna nyingi kwamba hata wazee wengi hawafi kwa sababu ya useper see bali magonjwa yanayowashambulia wagonjwa. Kuna wanaokufa kwa ajalimbalimbali, wengine wanalala kasha hawaamki siku inayofuata. Kwa vifo vyote hivi, Biblia...
  14. John Malanilo

    Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    Biblia imesema baada ya kufa ni hukumu. Alipaswa kuombamwenyewe alipokuwa hai. Luka 16:22-31 Ukisoma vizuri mstari wa 27-30 utaona kuwa kama wafuwangekuwa wanaombewa kwa vile huyu alikuwa tajiri, asingekuwa na wasiwasi maanapesa yake ingetumika kulipia gharama za ibada au misa ili aombewe na...
  15. John Malanilo

    Tanganyika imerudi

    a)NDIYO~TANGANYIKA HURU IRUDI.
Back
Top Bottom