Mimi kwa upande wangu, nilianza kwa kujitenga na marafiki walevi, pia niliweka nia ya kutokwenda kwenye vilabu vya pombe hata nikitoka naenda sehemu ambazo mara nyingi hawana vilevi. Kubwa zaidi nililolifanya kushinda tamaa za mwili kama ulevi, uzinzi, uvutaji wa sigara ni kufunga na kuomba...
Hii issue ya sukari wanaofaidika nayo ni mabwanyenye wa nchi hii. Wamiliki wa viwanda ndio watu pekee wanaruhusuwa kuagiza sukari nje ya nchi hii kwa mujibu wa sheria. Lakini kwa kuwa gharama za uzalishaji sukari hapa nchini zipo juu kuliko kuagiza nje basi ni rahisi kwa wamiliki kucheza na...
Mwaka 2016 nilibahatika kuhudhurua annual technical meeting ya NGO moja hv ambayo ilikuwa imefadhiliwa mradi wake na UNEP kuhusu mambo ya climate change, wale jamaa walikuwa wametengewa bilioni 100 kwa miaka mitatu. Ndani ya mwaka mmoja walikuwa wametumia 38 bilioni. Kwa ufupi mradi ulikuwa uwe...
Paul Kagame anafanya hivyo kwa maslahi ya mabeberu wa magharibi, ili na wao waendelee kulinda maslahi ya Rwanda katika Kongo mashariki. Ndio maana huwezi kusikia PK akiitwa dikteta na vyombo vya habari vya magharibi kwa sababu ni mtu wao ana faida na wao.
Mambo yenye tija kama haya hayapo katika mitaala yetu ya elimu, tunaishia kufundishwa kilimo cha ndizi jamaica, kilimo cha chai srilanka, kilimo cha kahawa brazili aina za kawaha sijui arabika na robusta......hatufundishwi Mambo ya msingi yanayohusiana na rasilimali za nchi yetu pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.