Recent content by john kay

  1. john kay

    Msaada: Jinsi ya kuitambua Samsung galaxy S3 original

    Kuna jamaa anataka kuniuzia nahitaj masaada wenu maana Copy ni nying sana
  2. john kay

    Songea yetu, karibuni mji uliobarikiwa

    Cha kusikitisha wanasongea wanauza Ardhi kwa Kasi sana kwa wageni hasa zile sehemu za Asili maeneo ya Hanga,Likuyufusi,Litapwasi yaan sijui itakuwaje
  3. john kay

    Hivi kwanini Wakenya hawatupendi Watanzania?

    Huo ni uwongo Mbona mimi Nafanya nao kazi ofisi moja sijawai hona ishu ka Hiyo
  4. john kay

    Watanzania kwenda Msumbiji bila VISA

    ni habari njema kwa wafnya biashara hasa wa madini toka Tanzania....
  5. john kay

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mwenye Kuhitaji kuja Bunda mkoa wa Mara mi niende kati ya Songea,Iringa,Mbeya
  6. john kay

    Faida za Windows phones

    Sina sim ya Adroid wala Windows ila kwa maelezo wanayotoa wadau na mpango wa kununua walau Lumia 630
  7. john kay

    Kwa anaepajua Bunda; Fursa gani zaidi za biashara zipo?

    :tonguez::tonguez: Inavyoonekana Bunda kwa kilimo wako vizuri wapendwa ndo imepangwa kufundisha Secondari hapo hivyo nashukuru kwa ushauri wenu
  8. john kay

    Anayepajua Lindi Wilaya ya Liwale Shule ya Sekondari Kiangara anijuze

    Maisha ni popote na kuchek fursa zilzopo kuzifanyia kazi.mi nimepangwa Bunda huko Mara...sipajui lakin sirud nyuma hata nikipangwa kijijin zaid ndo ntafrahi zaid
  9. john kay

    Kwa anaepajua Bunda; Fursa gani zaidi za biashara zipo?

    wanajamiii; hasa wale wadau wa ujasiriamali. Nahitaji kujuzwa kwa maeneo ya Bunda ni fursa zipi zaidi za biashara naweza kushugulika nazo. Nahitaji kwenda, ikibidi hali ya mzunguko wa pesa wilaya ile upo vipi... Natanguliza shukrani za dhati wadau...
  10. john kay

    Kulikoni mnafanya Msiba kama sherehe za kawaida?

    :smile-big::smile-big: ni karibu misiba mingi ya sasa ivo citu vipo tena mpaka vyakula vinakuwa vya thaman kubwa sana
  11. john kay

    Naomba Kupewa Profile ya Taasisi ya IPSOS

    Naipenda Clouds Fm kusikiliza baadhi ya vipindi ila kwa kusema eti kila kipindi wanashika namba moja hiyo ndo siamini ,,wanajiboost
  12. john kay

    Supermarket inayomilikiwa na Wachina Dar yabagua Watanzania weusi

    Hatuna miaka mingi mbele lazima xenophobia iibuke na hapa kwetu TZ kwa hali hii jamaa mpaka sasa wapo 12000 na wanazidi kaba kila Biashara ndgo ndogo ambazo wazawa tulikuwa twazitegemea,,istoshe kuna baadhi maisha kwao yapo vizuri ila ndo mwendo wa Accumulation
  13. john kay

    Land cruiser vs land rover in tourism

    Napenda sana magari....hivyo yanipelekea kupenda sana threads zako kaka your more expereance about it
Back
Top Bottom