Recent content by John Haramba

  1. John Haramba

    KERO Kwanini Mwananchi akinunua umeme anakatwa EWURA na REA kwa wakati mmoja?

    Unaponunua umeme unakatwa Kodi ya Ongezeko la Thamani ambayo ni Asilimia 18 ya pesa uliyotoa, kisha TANESCO wanakukata 1% wanasema ni hela ya EWURA, baada ya hapo . TENA unakatwa 3% eti pesa ya REA. Je, kwa nini mlaji anaigharimikia Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na...
  2. John Haramba

    Dar: Maeneo ya wazi Mnazi Mmoja (Mnara wa Uhuru) hayafanyiwi usafi kwa wakati, yanageuka mazalia ya mbu

    Kero yangu ni kuhusu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam. Najiuliza, je, huwa hawatembei nchi nyingine kuona jinsi wenzetu wanavyotunza bustani zao zilizotengwa kwa ajili ya wananchi kupumzika baada ya kazi au shughuli nyingine za kila siku? Nimekuwa nikienda Kariakoo mara kwa mara, sasa...
  3. John Haramba

    Polish Embassy in Tanzania marked the 4th anniversary of Russia–Ukraine War, urges President Putin to end the conflict

    The Polish Embassy in Tanzania met with various stakeholders to screen a film depicting events that have had significant societal impacts as a result of the ongoing war between Russia and Ukraine, which has now marked four years. Speaking before the screening of the film titled “The People”...
  4. John Haramba

    Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
  5. John Haramba

    Hatari ya kutoweka kwa ndizi Bukoba (matoke) Mkoani Kagera, Je, Wizara ya Kilimo ina mikakati ipi?

    Kwa miongo kadhaa, ndizi Bukoba zimekuwa zaidi ya chakula kwa wakazi wa Mkoa wa Kagera; zimekuwa msingi wa maisha, utamaduni na uchumi wa jamii nzima. Hata hivyo, nyuma ya taswira ya zao hili lililodumu kizazi hadi kizazi, kuna mabadiliko hatarishi yanayoendelea mashambani na katika mifumo ya...
  6. John Haramba

    Kuna Watu wengi wanaishi na Magonjwa ya Moyo muda mrefu pasipo wao wenyewe kufahamu

    Septemba 29 kila mwaka huwa ni Siku iliyotengwa maalum kujadili kuhusu Magonjwa ya Moyo ambayo takwimu zinaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la vifo vinavyotokana na magonjwa ya Moyo, pia namba ya waathirika inaongezeka. Picha: world-heart-federation.org Magonjwa hayo pia yamekuwa yakichangia...
  7. John Haramba

    Jifunze ku-appreciate Mtu/Watu waliokusaidia, waambie wakiwa hai, usisubiri wakiwa hawapo Duniani

    Kwenye maisha imekuwa ni kawaida japo siyo kwa wote kuona Watu hawakubali kuweka wazi au kueleza mchango wa mtu au watu fulani waliowasaidia kwenye maisha. Inawezekana wanahofu kusema hivyo labla wao wataonekana kuwa wapo chini au Jamii inaweza kuwachukulia poa kwa kuwa wamesaidiwa na mtu au...
  8. John Haramba

    Katika Dunia ya Kidijitali, kwanini Mwananchi abebeshwe mzigo wa vitambulisho?

    Upo sahihi, ujumbe huu ufike kwa mamlaka husika.
  9. John Haramba

    Katika Dunia ya Kidijitali, kwanini Mwananchi abebeshwe mzigo wa vitambulisho?

    Ni jambo la kusikitisha kuona mwananchi wa kawaida analazimika kubeba kadi takribani 10 kila siku ili kupata huduma mbalimbali. Kuanzia Kitambulisho cha Taifa (NIDA), kadi ya mpiga kura, kadi ya benki, ya ajira, ya bima ya afya, hadi kadi za usafiri au zile za klabu zaa michezo, mzigo huu wa...
  10. John Haramba

    DOKEZO Responded Ukweli Usiosemwa: 'Mboga zenye Viwatilifu vyenye viambata vya sumu' zinavyohatarisha afya za maelfu ya wananchi wa mijini

    Katika hali ya kawaida, mbogamboga huonekana kuwa chakula salama na chenye faida nyingi kiafya. Hata hivyo, katika muktadha wa miji au Majiji makubwa kama makubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Arusha na Mwanza, mboga hizo zinaweza kugeuka kuwa chanzo cha hatari ya kiafya kwa wananchi wengi maelfu...
  11. John Haramba

    Mapambano dhidi ya Rushwa katika Miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia

    Rushwa ni tatizo la Kidunia lenye madhara makubwa kwa mtu, jamii, nchi na mataifa kwa ujumla. Rushwa imetumika kupoka haki za watu kwa kumnyang’anya haki yeye aliyeistahili na kumpa yule asiyeistahili kwa sababu mwenye jukumu la kutoa haki amepokea hongo au kaahidiwa kupewa hongo ili apindishe...
  12. John Haramba

    Mwenyekiti JET: Elimu ya utunzaji mazingira iingizwe kwenye Mitaala ya Elimu kuanzia ngazi ya chini

    Umoja wa Maafisa Watendaji Wakuu Tanzania wakiwemo wa Mashirika Binafsi na Serikali (CEOrt) wakishirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira (Journalists' Environmental Association of Tanzania – JET) wamekutana na Wadau mbalimbali katika warsha ya kujadili mambo mbalimbali kuhusu...
  13. John Haramba

    Takwimu zinaonesha kila sekunde 24 kuna mtu anafariki kwa ajali ya barabarani

    Umoja wa Mataifa kupitia Shirika la Afya Duniani (WHO) umeeleza kuwa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanachangia vifo vya watu Milioni 41 kila Mwaka Duniani sawa na 74% ya vifo Ulimwenguni. Hayo yamebainishwa katika Kongamano la Mabalozi wa Usalama Barabarani lililofanyika kwenye Ukumbi wa...
  14. John Haramba

    75% ya Wagonjwa wa Saratani wanaofika Hospitali kwa ajili ya matibabu wanakuwa wamechelewa

    Katika kuwafanya Wananchi wengi kuwa na ufahamu kuhusu Ugonjwa wa Saratani na kuwapa elimu jinsi ya kukabiliana na changamoto hiyo ya kiafya, Taasisi ya Saratani ya Ocean Road inaendelea na mchakato wa kutembelea mikoa tofauti kutoa elimu na mafunzo kuhusu ugonjwa huo. Meneja wa Kitengo cha...
  15. John Haramba

    Simulizi Maalum za IKULU (Mwinyi, Kikwete, Mama Maria Nyerere...)

    Abdalla Mohamed Tambaza akielezea simulizi kutoka kwa Familia iliyotoa ardhi kujenga Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam. Simulizi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi Simulizi kutoka kwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Abdalla Mohamed Tambaza...
Back
Top Bottom