Recent content by John Fedha

  1. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Waacheni Warudi Lakini Wasitutoe Kwenye Reli: Je, Hii ni Mkakati wa CCM Kudhoofisha CHADEMA?

    Yule Dalali alikivuruga sana chama, kutoka mahabusu mpaka Ikulu hapana kwa kweli, Sasa hivi chama kipo mikono salama kuliko wakati mwingine wowote.
  2. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Pori la Mbweni ndo jehanamu mpya?

    Huyu ni memba mwenzetu humu na mwanachama wa mboga mboga lia lia kukaa kwake kimya bila kutoa neno lolote haijakaa sawa.
  3. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

    Wabongo bana, wanapenda sana anguko la wenzao naona mtoa mada anabwabwaja tu kama alimpa mtaji.
  4. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuja Tanzania uso wa Rio Fernand hauna Tabasamu

    Amekutana na watu hovyo kuwahi kutokea.
  5. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Pori la Mbweni ndo jehanamu mpya?

    johnthebaptist tangu kutoweka pole pole huyu jamaa sijui kama aliwahi kuingia jukwaani?
  6. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa timu yangu Yanga baada ya kipigo kutoka Dodoma Jiji

    Eti kipa Masalanga , huyu bure kabisa .
  7. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Je Diara Djigui pale Yanga yupo kwa ajili ya Clean sheet pekee?

    Acha inyeshe.....
  8. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Hatutaki Ajenda ya Katiba Mpya na Utekaji iwe ya kudumu. Tunataka ziishe

    Amekuwa msemaji wa Chadema?
  9. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM ipo serious na maisha ya Watanzania? Kama Wizara ya habari na Utamaduni na Michezo inapewa bil 562 halafu Wizara ya Maji tril 1.2!

    Hawajawahi kuwa serious, labda kwenye kuteka na kuua watanzania.
  10. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Wageni Milioni 27 Wamerundikana South Africa, Idadi Hii ni kubwa sana, Naunga mkono Watimuliwe

    Wale ZANU-PF chini ya Mugabe wameiharibu sana nchi ya Zimbabwe.
  11. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Wageni Milioni 27 Wamerundikana South Africa, Idadi Hii ni kubwa sana, Naunga mkono Watimuliwe

    Nchi ikikosa Siasa Safi na Uongozi Bora tegemea hayo yanayotokea SA, Kingine hawa watu weusi wenzetu wamesahau kipindi kile na wao wakiwa na changamoto zao za ubaguzi wa rangi ni chi hizi hizi za kiafrika ziliwapa hifadhi.
  12. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa kina Kayoko na Arajiga ile isingekuwa penati; wana kanuni zao

    Kwa muda mrefu Simba amekuwa muhanga wa hawa marefa, mpaka unajiuliza wanafanya hivyo kwa manufaa ya nani? Angalia mechi iliyopita walikataa bao la wazi kabisa la Simba.
  13. John Fedha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Juma: Baada ya Ripoti Kutoka, tumepokea simu za matusi zaidi ya 300

    Wamepewa haki yao kikatiba.
  14. John Fedha

    JamiiForums Tanzania Wazo la Wiki: Kabla ya Kuendelea Tukubaliane Mambo haya 5 kwanza!

    Ukiwaangalia hawa CCM walishapoteza muelekeo kitambo sana, hawana tena ushawishi siyo kwa hoja bali vioja, Angalia jinsi ambavyo watu wametekwa na kuuwawa na hitimisho lilikuwa October 29, Hawaaminiki kwa lolote wapo tayari kuuwa Watanzania zaidi ili waendelee kubaki madarakani . Mbaya zaidi...
Back
Top Bottom