Recent content by johkaju

  1. J

    Sarakasi za CT Scanner, MRI na vipaumbele vyetu

    Umenisikitisha zaidi, yaani badala ya kuchangia mada tajwa we unakosoa hesabu kwa rate alotumia wakati wewe umeshindwa hata kugoogle ukajua rate sahihi, unadhani hizo tfiti alizoandika mleta uzi angeshindwa kujua rate sahihi kwa wakati uliopo?
  2. J

    Je ni scania gani ambayo naweza pata mteja kwa sasa Tanzania ya kuuza 113H, 112H,93m.93h 124L,114L

    Mzee mbona hauko kibiashara? unataka kuuza magari lakini uko mvivu, kwani hayo magari LHD ni ya kuokota hapo unapoishi? Source magari anywhere in the world ambayo wateja wako hapa wanataka (RHD) sasa ukisema hapo unapoishi kuna LDH kana kwamba ili ufanye biashara ni lazima uuze ya aina hiyo tu...
  3. J

    Msajili: Chama chenye vurugu kama chadema kitazaa serikali yenye vurugu

    I like this, hata mie nshaanza kumtilia shaka huyu Mutungi, tukio hili ndilo limemfanya a-hukumu chama? walewale tu kumbe.
  4. J

    Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Ninayo mengi ya kuandika ila kubwa zaidi ni kumshukuru mwenyezi Mungu kutupatia mtu aitwaye John Mnyika. Mdogo wangu we acha tu. Kila nikifikiri cha kuandika furaha na tumaini nililo nalo moyoni natetemeka na kusisimka. Mungu akulinde maana hawa si watu wa kawaida, wapo kwa ajili ya kuharibu...
  5. J

    Kibaha: CHADEMA yaporomoshewa matusi ya nguoni, mpango wa utekelezaji wa ilani wawekwa pembeni...

    Swali hapa ni je? Huyu mbunge mwigulu alichaguliwa na wananchi, na kama alichaguliwa hao waliomchagua hawajuti kwa kura zao? Na vipi mwenyekiti wake jk huwa anachukuliaje wabunge wa namna hii? Anyway mimi nashindwa kuelewa maana hata hao waliokuwa wanamsikiliza waliwezaje kuendelea na ujinga huo...
  6. J

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Jamani ina maana hamjui kuwa hii ni redio ya udaku kama yalivyo magazeti ya udaku? Kutwa kuongelea maisha ya mtu mmoja mmoja
  7. J

    CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

    Wamekosa mtu mwingine sasa kama kawaida yao ni kucheza na akili za watu na safari hii wameona wakitumia udini itawasaidia. ila ushauri wangu ni kuacha musimamisha mtu maana si lazima sana. Na isitoshe huyo mcungaji ni mwanachama wao?
  8. J

    GE2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

    Nauliza Bukoba Vipi jamani? na kwingineko
Back
Top Bottom