Recent content by Johhenry

  1. J

    JamiiForums Tanzania Waliokosea maombi ya mkopo 2018/2019

    Niliona hukuhuku jamii forum
  2. J

    JamiiForums Tanzania Fanya yafuatayo hautajutia Kozi uliyochagua chuo kikuu.

    Umeua mkuu asante kwa kutushauri sisi wadogo zako
  3. J

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani mtu kupata reference number ya MUHAS baada ya kufanya usajili?

    Kuwa mpole nadhan ni swala la mtandao tu maana sasahv watu wengi wanafanya application
  4. J

    JamiiForums Tanzania Division 3 point 15 kwa msichana anaweza kusoma degree kweli?

    Minimum entry kwa kozi za degree ni 4.0 points ambapo anapaswa kuwa na atleast D mbili kweny masomo yake matatu xo ushaur wangu a-apply diploma mapema!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waliokosea maombi ya mkopo 2018/2019

    LIST_OF_APPLICANTS_TO_CORRECT_NECESSARY_INFORMATION.pdf
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waliokosea maombi ya mkopo 2018/2019

    Kuna list ilitoka ya waliokosea
  7. J

    JamiiForums Tanzania Division III ya 14 PCB anaweza kwenda shahada?

    Daah pole kwanza kwa hayo matokeo nakushaur ufanye application kweny vyuo vya private km hunert kariuki na bugando
  8. J

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2018 yatatoka lini hasa?

    Hii week cdhan km itapita
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu effect ya multiple selection kwenye loan allocation

    Yap me nimemaliza mwaka jana mkuu
  10. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu effect ya multiple selection kwenye loan allocation

    Habari wadau me nimemaliza form 6 nimeapply vyuo viwili na pia loan nimepply ila naskia ukichaguliwa zaid ya chuo kimoja inaleta tatizo kweny mkopo! Naomba kaka zangu mliotangulia mniambie ikitokea incidence kama hiyo nifanye nn isiathir allocation ya loan
  11. J

    JamiiForums Tanzania Sijaenda JKT kwa mujibu wa sheria

    JKT haina maana
  12. J

    JamiiForums Tanzania Fakati kwa watu wa PCB

    Bachelor of science in nursing
Back
Top Bottom