Fakati kwa watu wa PCB

Fakati kwa watu wa PCB

Hawa tukonao kitaa wanatupiga mizinga
Mambo yamebadilika saa hivi
basi hawajui kuitumia elimu yao kijiingizia kipato kwA sababu ukisoma md unakuwA na fursa nyingi sana za kufanya sema wAmekalili kuajiriwa tu na hii kitu ndo inayoathiri taifa kwA ujumla watu kuitegemea serikali na sio serikali kutegemea watu
 
Ndo fakati zip izo ambazo PCB anaweza kusoma tofaut na MD na nursing, na phamacy afu ajila waz waz
 
Ndo fakati zip izo ambazo PCB anaweza kusoma tofaut na MD na nursing, na phamacy afu ajila waz waz
izo fakati za afya ndo nazosemea zina deal sana ila uwe mjanja kuzichangamkia na pia uwe unajua kujiongeza tu afu ma MD WEngi ni wazuri kweny theory na sio pratcal hamna kitu kabisa wanazidiwA na watu wa clinical medicine
 
Nakuunga mkono 90%
 
Je nifakati gani ambazo mtu wa PCB anaweza kusoma na akapata ajira kiulahisi
Tumia neno course/kozi na siyo fakati. Faculty maana yake ni kama idara ya chuo husika. Ukisema fakati ni sawa unasema "idara gani mtu wa pcb anaweza kusoma". Chuoni zipo faculty of law, faculty of medicine au school of medicine ; faculty of IT na n.k
 
Hahahaaa mvumilie tu anao uwezo wa kusoma Facult nzima itakuwa mleta mada. Ndio maan kajibiwa vizuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ajira wazi wazi ni msaimiati uliopitwa na wakati ndugu yangu
 
Je nifakati gani ambazo mtu wa PCB anaweza kusoma na akapata ajira kiulahisi
Kwanza tuanze na lugha sahihi. Wengi husema ni kozi gani mtu anataka kusoma. Kiswahili sahihi ni programu gani mtu anataka kusoma-kwani ndani ya program ndio kuna kozi tofauti ambazo lazima uzisome (core) na nyingine ambazo unachagua (electives) ili utimize matakwa ya programu upate digrii yako.

PCB ni tahasusi pana unaweza kusoma
1. Program za afya (MD, D Dentistry, Pharmacy, Nursing na nyingine nyingi zilizo orodheshwa na TCU). Ugumu mkubwa ni kwa MD, DD, na B. Pharmacy nafasi ni chache hasa kama vyuo vilivyo zuiwa mwaka jana vitaendelea kuzuiwa kudahili. Unatakiwa point 8 za TCU yaani usinpungue P (D), C (C) na B (C) ushindani mkubwa hata hizo nane huna uhakika wa kupata. Nursing wanataka point 6.

2. Program za Kilimo hizi cheki SUA ni program chache ambazo zina mahitaji mengine kama Agric. Economics na za Agric. Engineering karibu zote zilizobaki wanachukua PCB.

3. Program za science education: Bachelor of Science with education

4.Program za Science zinazohitaji ufaulu wa P au C au B, lakini nazo lazima ufaulu angalau principal mbili uwe na pint 4. Vyuo vyote vinavyo toa digree za science unaweza kupata. Mfano BSc Biology, BSc Chemistry, BSc Physics, BSc Zoology, etc.

5. Program ambazo ni vigumu kufikiria: Kwa mfano IFM kijana wa PCB kachukulwa kusoma degrii ya ICT. Itabidi usome TCU Guide kwa umakini kuziona hizi.

URAHISI WA AJIRA LABDA YA KUANZISHA WEWE AU UWE NA SHANGAZI MWENYE AJIRA VINGINEVYO KOTE NI PATA POTEA. Mwaka wa jana wakenya walitangaza ajira za udakitari watu wakaogopa. Kuna kijana akaomba familia ikamshauri aachane na hiyo kitu, akasema akiitwa hatakwenda. Wakenya walipoweka ngumu (hawataki Dk kutoka Tanzania-unakumbuka walikuwa na mgomo), JIWE kuwaonyesha wakenya hana shida na kazi zao AKAWAAJIRI WALE WOTE WALIO OMBA KWENDA KENYA. Yule kijana akawaacha wenzake wanasugua bench. Hakuna formula. Hata programs zinazo pondwa watu hupata nafasi.
 
Nyie wadogo zetu hivi hamjifunzi kwa kaka Na Dada zenu waliotqngulia?

Sasa hivi mtaani kuna graduate wa toka 2015 hawana ajira!
Bado unakuja kuuliza eti " FAKATI" ipi ina ajira!

Nenda chuo kasome ila toa suala la ajira kichwani mwako Maana litakulemaza mwisho wa Siku ukihitimu ubaki na stress tu!
 
Back
Top Bottom