Msaada kuhusu effect ya multiple selection kwenye loan allocation

Johhenry

Member
Jun 26, 2018
14
3
Habari wadau me nimemaliza form 6 nimeapply vyuo viwili na pia loan nimepply ila naskia ukichaguliwa zaid ya chuo kimoja inaleta tatizo kweny mkopo! Naomba kaka zangu mliotangulia mniambie ikitokea incidence kama hiyo nifanye nn isiathir allocation ya loan
 
Una accept chuo kimojaaa kati ya hivyo utavyokuwa unechaguliwa ukisha accept. Bodi ya mkopo watajua wataupeleka mkopo wako sehemu husika. (Chuo ulichokia accept) ata wakipelekaa chuo tofauti na hicho. Ukifikaa chuo ulichokia accept mkopo utarudishwa ulipo...
.
 
Thanks bro
 
Naomba kaka zangu mliotangulia mniambie ikitokea incidence kama hiyo nifanye nn isiathir allocation ya loan

Una accept chuo kimojaaa kati ya hivyo utavyokuwa unechaguliwa ukisha accept. Bodi ya mkopo watajua wataupeleka mkopo wako sehemu husika.

Maelezo ya "Masking Agent" ni sawa hivyo ndio inavyotakiwa iwe. Tatizo ambalo nimeliona mwaka wa jana ni kutokuwa makini kwa vyuo na TCU katika mchakato huu. Mwaka jana kuna ambao wamethibitisha vyuo walivyotaka kwenda baada ya kupata multiple selections, cha ajabu hadi Bodi ya Mikopo inaanza kugawa mikopo, majina ya baadhi yao yalikuwa hayajafika bodi kuthibitisha wanakwenda chuo gani. Nafikiri waliingia kwenye kinyang'anyiro round ya mwisho na wengine hawakuwahi kabisa hivyo walikosa mikopo. Binafsi najua wawili wao. Hivyo ukipata multiple selections thibitisha haraka na kama inawezekana check na TCU status yako kuliepuka hili.
 
Habari wadau me nimemaliza form 6 nimeapply vyuo viwili na pia loan nimepply ila naskia ukichaguliwa zaid ya chuo kimoja inaleta tatizo kweny mkopo! Naomba kaka zangu mliotangulia mniambie ikitokea incidence kama hiyo nifanye nn isiathir allocation ya loan
Kwani form six washaanza kuapply vyuo???
 
Back
Top Bottom