WaTz mnapenda kumshitaki Nyani kwa Tumbiri ili aonekane mwizi wa mahindi tu lakini mkijua hawezihata kukemewa . Katiba pendekezwa ya Waryoba ilikuwa imefungia kinga zote za kijingaza rais ndaniya jeneza tayari kwenfakuzikwa. Hamtaki kumsema Tumbiriwenu chaujanja aliyefungua jeneza hilo kwa lugha...
Kama Sekretarieti haina data hizo basi haina sababu ya kuwepo ni ajira hewa isyokuwa na kazi mpaka ipate walalamikaji. Bora hata Polisi wanaonekana barabarani wakijisingizia wanafanya kazi. Ukipeleka malalamiko Tume wanakusingizia mwehu unabughudi wakubwa halafu jioni Uhuru fm na RTD wanatangaza...
Mipango ya pesa kubwa kubwa huanza kwa mawazo makubwa makubwa hadi mnafika mahala mmeliwa halafu mnaishia kama JK alivyowambia wakati waIPTL: "Ujinga wenu, hiyo hela siyo ya umma, labda kodi tu."
Wakati wa Ruksa CCM ilifungua matawi mpaka visiwa vya Sicily humo Italia. JK yeye aliyatangaza kabisa. Lukuvi ni Mtume wa kikundi kinachojihusisha na mkondo wa hao na ndiyo waliomfanikishia Ubunge na Uwaziri baada ya kumtuma kulipa pesa kwa wavamizi wa barabara ambao genge halikutaka wajulikane...
Wakati wa Ruksa CCM ilifungua matawi mpaka visiwa vya Sicily humo Italia. JK yeye aliyatangaza kabisa. Lukuvi ni Mtume wa kikundi kinachojihusisha na mkondo wa hao na ndiyo waliomfanikishia Ubunge na Uwaziri baada ya kumtuma kulipa pesa kwa wavamizi wa barabara ambao genge halikutaka wajulikane...
Hammjui Lukuvi. Wakati Waziriwa Ujenzi Jiohn Magufuli amekataza waliojenga ndaniya hifadhi ya barabara Kilwa Road Lukuvi akatoa pesa za Mkoa akaenda kuwalipa marafiki zake Kongowe. Akapanda ngazi kutoka ukuu wa mkoa hadi ubunge na uwaziri. Fadhiriķeni hizo mtakutana nazo katika hizi bil. 600/...
Mil 6 kutoka Tanga, Pwani, Dar es Salaam na Zanzibar. Lowassa haoni pattern hapa ya Waislamu wanaomkataa Magufuli, hii haikumaanisha walimpenda Lowassa, hawakuwa na nama. Hata kampeni za kutega makelele mitaani kanda hizo hawakufanya kama walivyotega wakati eakimkampenia Kikwete.
Kuna pundits...
Waungwana leo Jogoolashamba nimepandikiziwa sms hii:
"HABALI AFANDE JAMES NAFASI YA KUUSU KIJANA WAKO KUJIUNGA NA JESHI ULIFANIKIWA? KUNA NAFASI HAPA KIKOSINI KAMA BADO TUWASILIAE HARAKA TAFUTA NA VIJANA 2".
Namba ya simu ya mtumaji ninayo, ila sababu ya kutumiwa sms hii siijui. Ni wrong...
Ñchi hii hata wezi wa fedha nyingi hadi billioni 37 wanapewa muda wa kuficha wizi wao kwa kuruhusiwa kupandikiza kompyuta mbovu hivi hivi kadamnasi. Nani alichota pesa ya Lugumi? Iweje mtu aliyefunga kompyuta 14 tu katika miaka mi 3 aweze kufunga mifumo madhubuti ya kompyuta 98 ndani ya siku 90...
2+2=5? QED. Umeonesha upoyoyo wa yule nyani nani vile?! Kumbe kuonyesha limetokana na kuonya na .... Duh! Yapo lakini Jogoolashamba likiwika mjini magazeti yote yanaandika habari za KAKAKUONA.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.