Recent content by jogoo kishingo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hatua za kuachana na mume wa ndoa

    naanda threead yangu ya ndoa., jamani wanawake wa sasa in wasumbufu!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Swali Lisiloulizwa: Ikitokea Hivi Itakuwaje kwa Mgombea Urais CHADEMA?

    LOWASA ana mihemuko na uraisi kama MORANI ALIYEPOTEZA NG'OMBE!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    akienda CCM, mi ntakuwa wa kwanza kumfuata!
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti, awe anatoka Mbeya

    sina muda ndugu yangu, yaani nikitoka asubuhi, narudi saa mbili usiku, mabinti wa mtaani kwangu wananiogopa sijui kwann!
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti, awe anatoka Mbeya

    nashukuru @ Makuku Rey kwa kunifundishia lugha ya kiswahili huyo, mana hii lugha ngumu sana
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti, awe anatoka Mbeya

    poa, namsubiri, na jioni ndiyo hyo inaisha!
  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti, awe anatoka Mbeya

    wa mkoani mko nje ya vigezo!
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti, awe anatoka Mbeya

    @ miss mbeya, nipm utazijua sifa zangu, na kama hutovutiwa basii, kwan mapenz hayalazimishwi!
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti, awe anatoka Mbeya

    pm, namba zake, kama yupo vzuri bado ana mvuto kwann nimzibie riziki yake?
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti, awe anatoka Mbeya

    awe wangu kabisakabisa, na kumuoa endapo atakidhi vigezo.
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti, awe anatoka Mbeya

    soma vzuri, that is why nimesema ANIPM ILI NIMPE SIFA ZANGU, AKSANTE
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti, awe anatoka Mbeya

    we tulia, fursa hii haiwahusu wa MIKOANI!
  13. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji binti, awe anatoka Mbeya

    Nahitaji binti mwenye sifa zifuatazo: 1. Mrefu but sio saana. 2. Blackbeauty, mweupe, maji ya kunde. awe na kashepu, si manyama uzembe. 3. Umri 18-24 4. Awe anajua maisha, so mtu wa kuwaza club na kujirusha all the the time. 5. Awe ameajiriwa au ni mtu wa mishemishe ili kuimarsha kipato...
Back
Top Bottom