"Sukari imepanda Tanzania kwa sababu wachina wameongeza matumizi ya sukari hivyo bei ya sukari imeongezeka nchini china, kwa sababu wachina ni marafiki zetu, bei ya sukari haina budi kupanda nchini Tanzania............Mchumi"
" Mimi ninasikitishwa na maamuzi ya kukurupuka ambayo yana tugharimu sana. Hii VAT on transit goods haina tija hata kidogo bali ni hasara kubwa kwenye uchumi wetu kwa kuwa imesababisha mizigo kupungua kwa kiasi kikubwa bandarini, hivyo mapato ya TPA yameathirika, makampuni ya usafirishaji bidhaa...
"We want leaders with a bigger picture thinking, I am very surprised to see our leaders are deliberately killing the private businesses through what they call cost cutting initiatives, this has very short term benefits and has got both short term and long term negative effects to our economy"...
Economy is very sensitive thing, any action which would have an economic effects should be taken with care, otherwise problems like these will happen which will have a multiplied negative effects on the economy
Sidhani kama watu wote wanaolalamika juu ya ugumu wa maisha ni wavivu na wajanja wajanja. Nadhani mkuu inabidi afanye uchunguzi wa kina juu ya hili ili aweze kupata sababu zote zinazoleta ugumu wa maisha tangia aingie madarakani then atowe conclusion.
Kama mimi ningekuwa mshauri wa Magu ningemshauri aachane na biashara ya ndege. Kwa layman biashara ya ndege ni kitu kikubwa sana na cha kusifiwa - na faida kubwa sana. Lakini kwa mtu aliyemakini biashara ya ndege ni biashara hatari sana (high risk business because of its high operating leverage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.