Tatizo lipo kwenye namba 4 ..ilo tatizo linatokana na kuangalia picha za ngono...jitahidi kuwa mbali na hivyo kwa miezi mitatu na kuendelea utarud kwny hali ya kawaida.
Rotation huwa inasoma ngap wakat inatetemeka? Kwa engine ya 1Nz kama ukiwasha A/C rotation inakuwa chin ya 1 kuna uwezekano mkuwa gar limefanyiwa modifications kwny Air intake Pipe au imeshushwa silence kwa njia isiyosahihi
Nimekuwa nikijiuliza sana wengi wetu humu tunabadilisha Oil na spare nyingine za gar kwa kufata km ilizotembea je mfano Oil huwa inaendelea kufanya kaz hata gar isipokuwa kwny motion mfano kwny folen nk gar inapokuwa silence, Je kwann Oil ya gar isingekuwa inabadilishwa kwa kufata running time...
Suzuki Escudo toleo la 1993 ni Ngumu sana znavumilia halizote pia fuel consumption yake ni nzur ingawa ikiwa manual inakuwa nzur zaid mimi ninayo huu mwaka wa 15 still bado inaenda shamban kama unavoiona pichan ni namba AAB 664
Naombeni kujua katika Gar ndogo(kuanzia Tani 3 kushuka chini) ni ipi nzuri kati ya inayotumia Petrol au Diesel na ni kwann? tukiachana na factor ya fuel consuption.
Ilo swala sio rahisi kama wengi wanavyosema kuwa fanya mazoez au badilisha aina za sim au laa.....ile ni roho kamili kutoka kwa shetani huwez kushindananayo wewe hata siku moja hivi hujawah kujiuliza wale ma actors au ma actress ambao video zao znapostiwa na kuangaliwa bure kabisa je hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.