Yep inawezekana kutokana na kukaa na book haram husband kwa mada mrefu sista kashaharibika kisaikolojia.....ni kitu kinaitwa Stockholm syndrome......yaani io kitu nishida ..in short ni kuwa yule alietekwa ana fall in love na yule aliemteka......ubongo wa binadamu ni kiza kirefu
Unapomtunzia heshima yake ndo anaenda kuharibu watoto taifa la kesho ....kama vepe usimtaje ....basi peleka izo information mahali husika usiishie hapa.....peleka polisi ichukuliwe hatua....sheria ichukue mkondo wake .......maana hi I kitu haiwezi kutokomezwa kama watu wakiwa wanatunziana heshima
Heheh eti Nina kila dalili......nahisi ubongo wako unahitaji kujua zaidi braa....me nasimamia kuwa unapoanzisha hoja basi kuwa na hata kielelezo kimoja we piga screenshot tuone kilichosemwa ....SAA ingine unaweza ukawa umetunga tu stories ili kuangalia stress za watu ushoga ni mbovu kila MTU...
Unaona hata unachoongea hakuna mantiki me sina tabia ya kutoka hukumu kisa MTU amesema neno Fulani ....bro wewe MTU mzima jiangalie.....unaweza ukapoteza jamii .......
Hakuna MTU anaekulazimisha ila kinachotakiwa ni kuleta ushahidi.......unaona me kuleta hoja ambayo hujaipenda unaanza kunijaji bila ushahidi......ubongo wako ni wa kwako hamna MTU anaeweza kukupelekesha braa.....
Kufanya mapenzi na mkeo wakati ana mimba inaruhusiwa ni wanawake tu ndo wanaowabaniaga .....muwe mnaenda kwenye cliniki za RCH na wake zenu ili muwe mnapewa taarifa muhimu...mkeo akia mbiwa apewe bed rest na dokta mwamche ....Fanya shughuli msaidie ...kazi ngumu kubeba mimba miezi 9 sio kazi...
While kwamba me sijajua takwimu za wanawake au wanaume wanaoliwa Tigo
Ebu nikatumie kaelimu kangu kucheki izi point zako
Cha kwanza umesema kuwa kuliwa Tigo kunasababisha nyuma kutanuka adi mama anaezaa kutoka haja kubwa wakati wa kuzaa ......kwanza elewa wanawake kutoka haja kuwa wakati wa...
Nope mkeo kama me mgumba.....tabia mbaya ni tabia mbaya tu haijalishi kama u shoga au ulevi kupita kipimo au kurubuni watoto.....usianze kutukana watu kuita watu mende kisa wa hoja ....kama vepe....at a wewe unaweza ukawa donati......Mimi nnchosemea ni kuwa paletwe ushahidi....me sishabikki...
Okay ila then kwanza waprove kuwa kweli ni shoga...watanzania wengine wanapenda kiki na kuanzisha mada ili waone upepo unaelekea wapi...naona watu wengine wanazisengenya while za St kuwa ndo zinaongoza ......ile kuwa MTU mzito au mpole au kuwa na swagga za kimajuu watu wanakubambikia kuwa shoga...
Heheh utawajua bible thumpers ....god says judge not unless u want to be judged .....me sijasema neno hata moja kuhalalisha nimesema kama hajiusishi na mahusiani na wanafunzi au hajioneshi kwa wanafunzi achunguzwe ila kama anajihusisha apelekwe mahakamani ....io io apply kwa yoyote yule ...awe...
Ivi me naomba kuuliza ....waziri au mkuu wako wa kazi akiwa Malaya au akiwa anambusu mkewe kila jioni akirudi inaathiri nini kwenye kazi zake.....uyo shoga kuwa mwalimu sio tija.... Isipokuwa awe hajioneshi kwa wanafunzi...wala hajiusishi na mahusiano yasiyo na msingi na wanafunzi.....mbona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.