Recent content by Joel pisevu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada email ya NACTE!

    Unataka uangalie nin nikusaidie
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nacte wamekwisha toa matokeo ya vyuo?

    Msidanganyane saana,selection iliyotolewa ni kwaajir ya wale wanao kwenda kufundishwa masomo ya math&sayans katika ngaz ya stashada tu kwene chuo cha monduli,but ngaz ya chet wik ijayo.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri za private michepuo ya arts

    Nichek kwene 0752775325
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za walimu awamu ya pili hizi hapa

    Daah!mimwenyewe nasubir sijui ndo mwez wa kumi bora watwambie tujue mapema.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Hivi post za ualimu zinatoka lini?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Niwekeze wapi, Shule au Biashara?

    Kama unae wa kukusaidia kimaisha kasome,ila kama hauna fanya biashara maana ukiamua kusoma araf pesa ikakuishia nan atakusaidia?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ofisi za NIDA K/koo

    Panda magar ya posta mpya,shuka hapo posta,ukishuka 2,iliko elekea gar nyoosha moja kwa moja kama unaenda fer,mkono wako wa kushoto uwe unasoma mabango,utaona bango la nida
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz afiwa na baba yake mzazi Leo

    Upumzike kwa aman
  9. J

    JamiiForums Tanzania Biashara karatasi za kaki kwa ajili ya stationary,mahakamani na mashuleni

    Hauna shida ya kununua karatasi za kaki kwa bei aghari,tunauza karatasi zenye ukubwa wa tano kwa sita,kwa shiling miatano tu,kwamaelezo zaidi napatikana kwene,facebook/joel.pisevu.com,au piga-0752775325.
Back
Top Bottom