Recent content by Joel muganyizi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Polisi sio watanzania wenzetu mbona mmekuwa waonevu sana

    Huyo askari ni dikteta, hovyo kabisa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Musukuma, ataka Wabunge walioishia Darasa la 7 nao watimuliwe Bungeni

    Kwa mara ya kwanza,NIKUPE BIG UP MH MSUKUMA, UMEONESHA DHAHIRI UNAJALI, WATU HAWA WATENDEWE HAKI, WARUDISHWE KAZINI NA WAPEWE STAHIKI ZAO ZOTE, UONEVU NCHI HII UMEKITHIRI
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli hakusoma hata Civics ya kidato cha nne?

    Hivi msamiati wa "UCHOCHEZI"Ulianzishwa mwaka gani,kwa lengo gani na mwasisi wake alikuwa nani?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la ardhi lasikika maeneo ya Kanda ya Ziwa Victoria

    Hili tetemeko balaa, huku kwetu Nyarugusu-Geita nyumba zimetikisika kwelikweli,zimetufanya tuandamane vyumbani,sebuleni tukihaha wapi tutokee,Tetemeko limesahau kwamba wenye nji walisuia miandamano! hatareeeeee
  5. J

    JamiiForums Tanzania KISUTU: Tido Mhando afikishwa Mahakamani, asomewa mashtaka matano na kuachiwa kwa dhamana

    Bora angebaki zake nchi za watu ktk lile shirika bomba la utangazaji
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu bila Team Lowasa ni bure!

    Huyu naye kakurupuka ucngzn nn!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi ndie kiongozi mstaarabu kuliko yeyote Tanzania

    Mbali ya njaa, ni majizi pia
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu kijana mchota maji 'kanilia' mke wangu

    Ukipenda kula kubali kuliwa pia
  9. J

    JamiiForums Tanzania Huyu Mzee Matonya aliyepata msamaha wa Rais ni nani na alifanya kosa gani?

    Rais ana nguvu kubwa kisheria
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hosteli za Magufuli chuoni UDSM zimeanza kubomoka. Nini chanzo? Watoto wetu watapona?

    Hizo siyo cracks ni mitaro ya kupitishia maji taka
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mzima unakesha kuangalia TBC

    Yawezekana ajira yake aliipata kupitia tangazo lililorushwa via TBC[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Kujiunga CCM: Wanaikubali CCM Imebadilika?, Wanamkubali Magufuli na Kumfuata?, Au ni Njaa Zimewakimbiza?.

    Wengine wanatafuta kukanyaga carpet la IKULU tu, hawana lolote
Back
Top Bottom