Recent content by JOEL MAKWAIA

  1. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa aumbuka Pemba

    Rais wa nchi gani?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wasio na chama warudisha kadi za Chadema

    Hao lazima walikuwa na chama baada ya injili kuwaingia wakaamua kumkataa shetani na kazi zake zote.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu: Wanasiasa chungeni ndimi zenu, Mungu hadhihakiwi

    Pumzika kwa amani Mch Mtikila ila tutaendelea kukumbuka kwa kusimamia kile unachokiamini.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kifo cha CCM kimetimia

    Hiyo tathimini umeifanyia wapi?
  5. J

    JamiiForums Tanzania CCM and UDASA, this is shameful

    Serikali mbili ndio habari ya mjini maana imetusaidia mambo mengi.
  6. J

    JamiiForums Tanzania CCM and UDASA, this is shameful

    Hao akina Butiku mbona hawakuyazungumza mapungufu ya Muungano wakati wakiwa ktk uongozi wa nchi yetu? Kama waliuchezea ujana wao imeshakula kwao.
  7. J

    JamiiForums Tanzania CCM and UDASA, this is shameful

    Hao cdm wanatafuta serikali iwe kwa uongo, maandamano hata kwa mabomu hivyo sishangai hizo hoja zao zisizokuwa na mashiko.
  8. J

    JamiiForums Tanzania CCM and UDASA, this is shameful

    Ukweli utabaki pale pale ukawa hawana mashiko.
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM and UDASA, this is shameful

    Mdahalo wa udasa unaonekana kuwa tatizo lakini mchakato majimboni wa Shabani Kisu ulikuwa sahihi. Nawapongeza udasa kwa kuaandaa mdahalo ambao umeendelea kutufungua macho juu ya ukawa.
  10. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA sisi ni Wenzenu: Rudini Bungeni

    Katiba mpya ya Watanzania itapatikana kwa ridhaa yetu wananchi na si ukawa maana hatua ya mwisho rasimu hiyo italetwa kwetu kwa ajili ya kuipigia kura.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hodiiiiiiiii

    Karibu
  12. J

    JamiiForums Tanzania UKAWA sisi ni Wenzenu: Rudini Bungeni

    Hata wasiporudi bungeni lazima katiba mpya itapatikana.
Back
Top Bottom