Vijana wasio na chama warudisha kadi za Chadema

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,236
Reaction score
138,755
Jamani eeh tunaposema CCM Kanda ya Ziwa hali ni mbaya kuliko mnavyodhani.Kuna kundi dogo la vijana huku Mwanza wamekuja na maigizo.Katika mkutano wa kampeni kuna vijana walitambulishwa kama vijana wazelendo wasio na vyama,lakini wanaunga mabadiliko ya Magufuli.Ajabu katikati ya mkutano vijana hao hao walirudisha kadi za Chadema na kutangazwa kujitoa Chadema.Ni kama movie
 
Acha waendelee
 
chai umeshakunywa? maisha yapo pia baada ya uchaguzi so fanya yako siasa achana nayo
 
mwaka huu tutaona mengi sana hasa huyu Kikongwe CCM alivyobanwa ......ndivyo anavyo pagawa.
 
Hizo kadi wanazitengeneza na kuzikusanya wao wenyewe, kadi gani hazina picha?
hayo maigizo wachague sehemu ya kuyapeleka sio Mwanza please huko sio kwa sisiem kabisa
 
Jamani eeh tunaposema CCM Kanda ya Ziwa hali ni mbaya kuliko mnavyodhani.Kuna kundi dogo la vijana huku Mwanza wamekuja na maigizo.Katika mkutano wa kampeni kuna vijana walitambulishwa kama vijana wazelendo wasio na vyama,lakini wanaunga mabadiliko ya Magufuli.Ajabu katikati ya mkutano vijana hao hao walirudisha kadi za Chadema na kutangazwa kujitoa Chadema.Ni kama movie

Hao lazima walikuwa na chama baada ya injili kuwaingia wakaamua kumkataa shetani na kazi zake zote.
 
Kwa nini mantiki ndogo namna hii unashindwa kuielewa!! Mwanzoni hao vijana walisemwa kuwa hawana chama, katikati ya mkutano wakadaiwa kuwa wanarudhisha kadi za CHADEMA!! Kama ilisemwa hapo awali kuwa hawana chama inakuwaje baadaye watambulishwe kama ni wanachama wa CHADEMA wanaorudisha kadi za chama hicho!!??
 
Wakubali tu.ccm haina mizizi tena .
 
Attachments

  • 1443941109995.jpg
    1443941109995.jpg
    52.9 KB · Views: 281
Vijana wa Kanda ya ziwa tulishafanya maamuzi mapema ya kuichagua UKAWA...
 
Wanaendelea kujichora! Tunaendelea kuangalia maigizo yao. Tarehe 25.10.2015 kura ni UKAWA kuanzia Diwani, Mbunge na Rais.
 
Jamani eeh tunaposema CCM Kanda ya Ziwa hali ni mbaya kuliko mnavyodhani.Kuna kundi dogo la vijana huku Mwanza wamekuja na maigizo.Katika mkutano wa kampeni kuna vijana walitambulishwa kama vijana wazelendo wasio na vyama,lakini wanaunga mabadiliko ya Magufuli.Ajabu katikati ya mkutano vijana hao hao walirudisha kadi za Chadema na kutangazwa kujitoa Chadema.Ni kama movie

Hahahahah kwel wameishiwa mbinu...!
 
CCM wanajisumbua sana aisee,HIZI JANJA ZAO TUMESHAZIGUNDUA,sisi watanzania na wanamwanza TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA TU, Hatudanganyiki tena.
 
Hizo kadi wanazitengeneza na kuzikusanya wao wenyewe, kadi gani hazina picha?
hayo maigizo wachague sehemu ya kuyapeleka sio Mwanza please huko sio kwa sisiem kabisa

Kam vile Mr zero alizozikusanya za ccm kadi zimezidi idadi ya wanachama wa ccm ngoma droo ila maigizo yenu kibogo kama vile ya mgomea wenu
 
Back
Top Bottom