Hii Wilaya nakumbuka kwenye miaka ya 90+ ndio ilikuwa inaongoza kwa kuwa na shule nyingi za Secondary kuliko Wilaya nyingine yoyote TZ. Ila pia nakubaliana na watoa hoja kwamba ni kati ya Wilaya chache TZ ambayo huwezi kukuta nyumba ya nyasi!!
Hajui anachokisema, angezijua asingethubutu !! Mbona hata hizo Samsung kuna zile za bei cheee na zina internet !!! Ana uhakika gani kuwa wote anaowasema wanatumia hizo anazosema !!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.