Recent content by joe78

  1. joe78

    JamiiForums Tanzania Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

    Kama ulisoma,na masomo hayajakusaidia basi wewe ni moumbavu,...ulivjosomwa ndicho unatakiwa kukifayilia utanishukuru,usije jinyonga ndugu.
  2. joe78

    JamiiForums Tanzania Steve Mengele: Hata Viongozi wa Nchi wananitambua kama Steve Nyerere na Mwanangu ni Alex Nyerere, Mengele itabaki kwenye Kitambulisho tu!

    Jina la mwalimu linajulikana duniani kabla hujazaliwa,ukisema UMELIKUZA,sio kweli ni kutafutwa SIFA za kijinga. Ulikua ukiigiza sauti ya mwalimu,na sio labda ulifanana nae au vipi. Waheshimu wenye jina lao,hawapendi unavyolitumia. Kesho dangite alisema sitaki jina langu litumike Tanzania na...
  3. joe78

    JamiiForums Tanzania Bunge: Hali ya Utegemezi Nchini inatisha. Katika Watu 100, watu 87 ni Tegemezi

    Watu 87 kati ya 100,hawana kitu ni wategemezi mheshimiwa sana anashauri itengwe bajeti(waendelee kula)ili kujua kiwango cha umasikini!!!! Idara ya takwimu, maendeleo ya jamii,mioango na uchumi,ofisi ya wk sera,wote hao hawajui kiwango cha umasikini!!!!!! Sawa,tengeni bajeti.
  4. joe78

    JamiiForums Tanzania Je, Allah alikuwepo kabla ya kushuka Quran?

    Sio rahisi kujibuwa bila vioja.
  5. joe78

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

    Hatuhuitaji kampeni Safari hii FOMU ya URAIS kazime ziwe za kutosha,kila mwana CCM mwenye sifa anayo HAKI ya kuchukua FOMU....
  6. joe78

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Kitanzania huwa hawajiamini wanapokua kwenye mahusiano na sisi wanaume Mabrothermen?

    Huwezi kujua ukubwa wa pori ulimo mpaka utoke nje ya pori,aliyekuambia wewe ni brotherman ni nani?aliyekuambia wewe ni handsome man ni nani? aliyekuambia crown ni ndinga pendwa ni nani? Wasichana wengi Wana wasiwasi kuwa unaweza kuwa shoga.
  7. joe78

    JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua dhidi ya viongozi wa Serikali waliochukua viwanja Chato ili wavijenge, baada ya Magufuli kufariki, wamevitelekeza

    Serikali iingilie kati??? Vipi uwanja wa ndege!!!!!!
  8. joe78

    JamiiForums Tanzania Hawa panya wa kisasa mbona balaa

    Wana mkia mfupi na mdomo mrefu wanalia chwi chwi chhwi
  9. joe78

    JamiiForums Tanzania Yanayosemwa kuhusiana na Askari huyu yana ukweli?

    Thubutuuuuu,ule mchongo sio wa kitoto ni ma engineers ndio waliunga pipe,mchongo wa wakubwa ule. Sisi tunakimbizana na vidumu TU docs
  10. joe78

    JamiiForums Tanzania Naomba Mwenye Picha ya Mbowe na Viongozi wa CHADEMA Wakishiriki Msibani kwa Mama Mzazi wa Halima Mdee

    Unapenda majungu mpaka mnatisha,kaka Ni dadako mbona unauliza?Muulize mfiwa Sisi hatuwezi majungu
  11. joe78

    JamiiForums Tanzania Tuheshimu Ikulu, Tuwaheshimu viongozi wote Wateule, ni Watanzania wenzetu, Tuwaheshima kama ambavyo Baba na Mama yako anastahili heshima

    Ikiwa mwenyewe hujiheshimu, kwanini unaamini unayo haki ya kuheshimiwa?Unafahamu maana ya utumishi wa UMMA? Sisi Ndio UMMA,tunalipa Kodi,tozo ili mjilipe na kutokutenda haki Kwa wanaokulipia maisha yako? Ikiwa unaona unatukanwa na kuingiliwa faragha,unaweza kujiuziru.
  12. joe78

    JamiiForums Tanzania Kamachumu, Muleba: Msafara wa M/Kiti wa UVCCM Kagera waua watoto wawili

    Huyu ndiye Yule anaedai watu wakipotea polisi wasihangaike,anachukua pesa Kwa wakurugenzi,chama Hakuna bajeti?
  13. joe78

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

    Chawa Ni mdudu mchafu anaenyonya damu binadamu
  14. joe78

    JamiiForums Tanzania Lema asema tuwaache Wamarekani wawepe watoto chakula, asema yeye haoni shida

    Hoja Ni Nini? Ni virutubisho vilivyoongezwa? Ni tupewe cash tununue Kwa wakulima wetu? Ni usalama WA hicho chakula? Kama hoja Ni virutubisho, waziri ansema ingekua Sawa viwekwe hapa nchini ili tuone!! Hoja ya kipuuzi kabisa, serikali haina wataakam wa virutubisho?mamlaka za chakula,mkemia...
Back
Top Bottom