Recent content by JOE MAN

  1. J

    Rais, Tanzania si chochote katika utalii

    Mkuu umenena ukweli mtupu.vivutio vingi vya utalii bila maarifa ni bure.hao viongozi hasa hiki kitengo cha utalii hawajui wanachofanya.hivi wanafikiri hao watalii matajiri watamiminika kuja tz katika mazingira haya ya sasa?waanze kufikiria kuwapata kwanza hawa watalii wa kawaida ambao ni wanunuz...
  2. J

    Dar es Salaam inanuka maji taka

    Kazaliwa pachafu.kalelewa pachaf.kasomea pachafu.anapopaona kila siku...pachafu.huyo mtu unategemea atajua nini kuhusu usafi!?.watanzania ni wachafu.nafkiri kipindupindu si ugonjwa ni tabia
  3. J

    Ni Upi mtazamo wa KANISA KATOLIKI katika Jambo hili la Ushoga na Ndoa za Jinsia Moja

    Nilifkiri mtu atakuja na ufumbuzi wa hiki kitu Kila mtu anachofanya ni kulaumulaumu na kushangilia.tupeni ufumbuz nn kifanyike ili watu wasipende kua mashoga
  4. J

    Nimeamini mzungu huwa hakosei na kwa hili nawaunga mkono 100%

    Mwafrika kila siku anatumia gharama nyingi kujifanya aonekane tajiri.mzungu yeye anatumia gharama kubwa kurahisisha maisha.mwisho wa siku mwafrika anakua maskini na yule mzungu aliyejishusha anazidi kutajirika.pesa ya mwafrika inaishia kwa yuleyule mzungu
  5. J

    Makonda: Wanawake ni moja ya chanzo cha ufisadi

    Yuko sahihi.kama tungeweka sheria ya kukamata wote wanaonufaika na pesa za kifisadi nadhani wanawake wengi wangesekwa jela.ni kweli wamepokea vingi.
  6. J

    Aibu, fedhea ya DART, Jiji, Manispa Dar

    Tatizo la hii nchi ni sheria zilizopo hazilazimishi watu kuwa wasafi.angalia baadhi ya nchi za wenzetu huwezi ona mtu anachafua na asikamatwe.watanzania walazimishwe kuwa wasaf kwa kutunga sheria kali zitakazomfos mtu kuwa msafi kuanzia nyumbani kwake hadi sehemu nyingine za uma.
Back
Top Bottom