Dar es Salaam inanuka maji taka

Dar es Salaam inanuka maji taka

Kua makini mkuu,Dar ni kubwa sana! Ayo maji uku kwetu hatujawai kuyaona yanatiririka ovyo ovyo. Nadhani ungesema City Centre sio Dar es salaam! Kuna sehemu dar apa apa tunaishi km tupo mikoani tu,yaani maisha burudaani kabisa,hewa safi,maji fulu ya visima etc
 
Kazaliwa pachafu.kalelewa pachaf.kasomea pachafu.anapopaona kila siku...pachafu.huyo mtu unategemea atajua nini kuhusu usafi!?.watanzania ni wachafu.nafkiri kipindupindu si ugonjwa ni tabia
 
Back
Top Bottom