Recent content by joe aaron

  1. J

    Kwanini watu wanavaa saa mbovu/zisizo na majira?

    Wengi wanavaa kama mapambo
  2. J

    Kimbunga vyeti feki: Baadhi ya vigogo wamwaga manyanga kimya kimya

    Hiyo ndiyo njia pekee ya kuifanya TZ kuwa na watumishi sahihi sio wale walio iba vyetu au nafasi ya watu sahihi
  3. J

    Kitwanga aponda ndege mpya za ATCL mwanzo mwisho

    [/URL]lery/495c5cc9a679029ca4a9689cf86d9c34.jpg[/IMG]
  4. J

    Rais Magufuli aahidi kuwapa kazi aliowatema serikalini

    Rais akiwapa kazi waliotemwa atakuwa amepunguza lawama zinazo elekezwa kwake
  5. J

    Mambo kumi usiyoyajua kuhusu marehemu Aboud Jumbe

    Ndo Lubuva Huyo Huyo c mwingine
  6. J

    Naibu Spika Tulia hajamtembelea Spika wa Bunge tangu atoke Hospitali?

    Binafsi siamini kama ni kweli hajamtembelea Mh. Spika toka arudi toka India. Kwanza mm nadhani alikuwa anatakiwa kumpokea JKA kama alikuwepo Dar. Kama ni kweli ni maajabu ya mwongo Huu. Shame.
  7. J

    Mzee Jumbe ausia asizikwe Kiserikali

    Lazima tufuate wosia wake. Tunamwomba Mungu ampumzishe mahala pema peponi. Alifanya mengi mazuri wkt wa uhai wake. Amen.
  8. J

    Mkakati wa Lema kumchonganisha Gambo na Mh. Rais wabainika

    Mhe. DC yy afuate Sheria na miiko ya kazi zake tu atashinda majaribu yote toka kwa wabaya wake wakiongozwa na MB.
  9. J

    Maswali muhimu kuhusu serikali kuhamia Dodoma

    Kuhamia Dodoma kutaimarisha ulinzi wa taifa letu. Pia kuta rahisisha watu wengi kufika makao Mkuu nk
Back
Top Bottom