Katika jambo linalo muumiza pasco katika moyo wake ni Zanzibar kuwa huru hawezi kujizuwiya utaiyona tu rangi yake
Huyu jamaa sijiu tumemkosa nini maana ikitajwa zanzibar basi moyo wake unaumia
Tuta lalamika mpaka mutakapo tuachia tupumuwe maana nyie ndio munao lazimisha haya kila tukijipapatuwa munatuletea majeshi
Kama musinge tufanyia vurugu kwenye uchaguzi basi wakati huu tungalikuwa tuna zungumza mengine maana ingalikuwa tusha wakimbia mbaali na munaanza tena kupanda maboti kuja...
Assalaam Alaykum
Wewe Pascal jina jengine unajita Pasco hili la Pasco ulifungua account kwa ajili ya kuandika mambo ya Zenj tu lakini naona yamekushinda
Wewe kijana unachuki saana na Zenj inakuumiza saana kwenye moyo wako lakini kama imemshida Nyerere na ww na wenzako utaiyacha kama ilivyo...
KAMA MUNASEMA TUNA KILA KITU CHETU ZNZ
TUNA KATIBA YETU NA SHERIA ZETU
KWANINI MUMEWACHUKUA MASHEHE WETU WA UAMSHO
KAMA HAYAWAHUSU WAACHIENI HARAKA MASHEHE WETU MUFANYA UJANJA UJANJA TU
MBONA MUMEWAKAMATA TENA HAMUWATENDEI HAKI
SASA MUMEWASHIKA KWA SHERIA GANI NA YA ZNZ SIO YENU
Mimi naona hata vyama vimo
Ukiwa mwanachama wa chama kikuu unapatakazi japo has na vigezo
Naukiwa chama chengine hupati kazi hatakama unavigezo vyote na hasa nafasi za juu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.