Habari Njema Zenji: Juhudi za Mhe. Balozi Amina S. Ali zazaa matunda, TradeMark yamwaga madola! | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari Njema Zenji: Juhudi za Mhe. Balozi Amina S. Ali zazaa matunda, TradeMark yamwaga madola!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, May 19, 2017.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,465
  Likes Received: 22,758
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Kwenye Jukwaa la Siasa humu JF, ukizungumzia Zanzibar, mind za wengi zinakwenda straight kwenye dhana potofu na uongo kuwa Zanzibar kuna mgogoro wa kisiasa!. Kiukweli Zanzibar hakuna mgogoro wowote wa kisiasa, uchaguzi mwingine ni 2020,
  Ukweli Mchungu Zanzibar: Hakuna Mgogoro Wowote wa Kisiasa, Shein ...
  hivyo nashauri wana JF, tujikite kwenye kuzungumzia maendeleo ya Zanzibar.

  Leo asubuhi, nimeamkia kwenye taarifa hii kutoka MFA kuihusu Zanzibar.
  Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation: Zanzibar ...

  Kwenye taarifa kuhusu Zanzibar kusaidiwa na TMEA, nimekuta paragraph hizi mbili

  "Aidha, kwenye miradi inayofadhiliwa na washirika wa maendeleo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Zanzibar haijasahaulika. Zanzibar inanufaika na miradi inayofadhiliwa na taasisi inayojihusisha na masuala ya kukuza biashara na kupunguza umasikini katika nchi za EAC inayoitwa "East Africa Trademark" (TMEA). TMEA ambayo ni mdau mkubwa wa EAC inafadhili mradi ambao unawawezesha Wazanzibari kufanya maombi kwa njia ya mtandao ili kupata cheti cha uasili wa bidhaa. Cheti hicho ni muhimu kwa wafanyabiashara kwani kinatambulisha bidhaa yako ilipotengenezwa na kupata msamaha wa kodi ya forodha inapoingia nchi nyingine za EAC".

  "Mradi mwingine unaofadhiliwa na TMEA huko Zanzibar ni ule wa kuwasilisha malamiko kwa njia ya mtandao au ujumbe mfupi wa simu pale inapotokea mfanyabiashara amekumbana na vikwazo visivyo vya forodha katika kusafirisha bidhaa zake ndani ya Jumuiya. Ujumbe huo utakapopokelewa, kikwazo kilicholalamikiwa kitafanyiwa kazi na taasisi husika mara moja".

  Hii ni habari njema sana kwa maendeleo ya Zanzibar, kwa sababu nilipata kuhudhuria tukio fulani, ambapo Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko wa Zanzibar, Mhe. Balozi Amina Salum Ali, alipofunga safari kutoka Zanzibar na kuja hadi TMEA. Naomba kwanza ushuhudie, Balozi Amina alikuja kufanya nini TMEA.  Na kweli baada ya muda, juhudi hizi zikazaa matunda. Angalia baada ya ziara hiyo, TMEA walifanya nini Zanzibar...

  TradeMark East Africa Yawezesha Zanzibar kutumia SMS Kuripoti ...


  Habari kama hizi, ndizo habari za kimaendeleo, wana JF tujikite zaidi kwenye kujadili habari za kiuchumi na za kimaendeleo zenye manufaa kwa taifa, badala ya kutwa kuchwa kujadili habari za kisiasa tuu, na tena habari nyingine, hazina hata manufaa yoyote kwa taifa letu!.

  Hongera sana Balozi Amina Salum Ali, juhudi zako zimeanza kuzaa matunda. Hongera TradeMark East Afrika, juhudi zenu na michango yenu yaanza kuthaminiwa na serikali ya JMT.

  Hongera pia MFA kwa kutambua juhudi za TMEA.

  Paskali
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #41
  May 19, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,465
  Likes Received: 22,758
  Trophy Points: 280
  Mkuu Retired, mtu yoyote ambaye he/she is a man of integrity anaheshimu challenge, nami naheshimu sana challenge haswa zinapotoka kwa watu sensible kama wewe, hoja zako zote ni za msingi.

  Hili la Zanzibar, japo sina uhakika, lakini nahisi, hakuna mwana jf mwingine yeyote aliyeliandika kama mimi, kwa sababu kwenye issues za Zanzibar, mimi nimetokea kuwa na vested interests ambazo ni personal, ambazo zimetokana na kazi yangu. Tangu kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, ile 1995, ni mimi ndie wa kwanza kutangaza matokeo halisi ya urais kabla hata ya ZEK. Uchaguzi wa 2000 ni mimi niliripoti uchaguzi ule na vurugu zilizofuatia niliripoti na nilitiwa ndani na kulazwa Mwembe Madema na Ali Saleh. Kura ya maoni ya Zanzibar nimeiripoti, Mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010 nimeyaripoti, kifo cha CUF nilikitabiri, sababu za kwa nini kila siku CUF inashinda na haipewi, niliziweka humu.

  Unaweza kusoma yote humu.
  Zanzibar Issue: Kwanini watu wanapiga kelele tu bila kuchukua ...
  Kumuepushia aibu ya Kushindwa, CCM isimsimamishe Dr. Shein ...
  Zanzibar: Japo SMZ ya SUK sio de jure tena bali ni de facto ...
  Kama hii ni kweli, CCM Zanzibar ndiyo Bye Bye? | JamiiForums | The ...
  Kumbe Katiba ya Tanzania Haitumiki Zanzibar! - Pinda akiri Utata ...
  Miaka 50 Ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, Bado Kuna Maswali Bila ...
  Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa ...
  Neno "Matukufu" Katika Mapinduzi ya Zanzibar, Lilitoka Wapi, na ...
  Swali: Je Unafaham Hili Juu Ya Zanzibar? | JamiiForums | The Home ..

  CUF kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar si hiyari, Ni lazima ...
  Kuna haja ya kuhofia kurudiwa Uchaguzi Zanzibar? | JamiiForums ...
  Hatimaye CUF 'Wameridhia' Rasmi, Kushiriki Uchaguzi Wa Marudio ...
  Uchaguzi wa Marejeo Zanzibar ni Huru na Haki! Tuyasubiri Matokeo ...
  Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar ...
  Mbowe Alipua Bomu la Siri ya Ushindi Wa CCM Zanzibar!. Waziri ...
  Wanaofikiria uchaguzi mwingine Zanzibar wanapoteza muda ...
  Pemba Chini ya CCM kuneemeka au Kujutia Kuichagua CUF Chaguzi ...
  Uhalali wa Rais Dr. Shein Wa Zanzibar ni Kutokana na Uchaguzi ...


  Lile swali kwa rais, wanaoliona ni swali la mwaka ni wale wageni tuu walionifahamu baada ya kuondoka rasmi Newsroom, lakini wale wote wa enzi zangu waliokuwa wanaangalia kipindi cha Kiti Moto, wanaijua hiyo ndio house style yangu ya kuuliza maswali.

  Press conference ya Ikulu ilikuwa last Dec, angalia mabandiko yangu haya ninayozungumzia "the separation of powers", angalia yalipandishwa lini.
  Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of ...
  Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...
  Gwiji wa Sheria na Katiba, Prof. Issa Shivji, Agoma Kuzungumzia ...
  CHADEMA Ikipewa Nchi, October 2015, Hakuna Hatari Kugeuka Utawala ...
  Udikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
  Udikiteta ni Dhana Tuu or ni Real?. "Lets Call A Spade A Spade ...
  Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata ...
  Mawaziri Watakaolalamikia OC Ndogo!, Waache Kazi!. Ni Kauli ya ...
  Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote | Page ...
  Watetezi Wa Kweli wa Haki za Binaadamu Tanzania ni Kina Nani ...
  Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili ...
  UDIKTETA: Hongera Sana TWAWEZA, TZ hakuna Udikteta! Ila ...

  Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki ...
  Hivi ............Tuna mihimili mingapi hapa TZ.......??? | JamiiForums

  Paskali
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #42
  May 19, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,465
  Likes Received: 22,758
  Trophy Points: 280
  Mkuu James Comey, kabla ya amani na utulivu, unatangulia upendo, upendo ndio amri kuu kuliko zote, penye upendo kuna amani, penye upendo kuna utulivu, penye upendo hakuna chuki, penye upendo hakuna fujo. Zanzibar kuna watu wana chuki, wanawadanganya wenzao kuwa kuna mgogoro, akili ikiamini kuna mgogoro, haiwezi kufikiria maendeleo. Ninachofanya hapa ni kuwahakikishia Wazanzibari kuwa hakuna mgogoro wowote, uchaguzi mwingine ni mpaka mwaka 2020!, hivyo kwa sasa tujadilini maendeleo na sio hadaa ya mgogoro.

  Paskali
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #43
  May 19, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,465
  Likes Received: 22,758
  Trophy Points: 280
  Mkuu Yamungu Athumani, kwenye chuki tuhubiri upendo, watu badala ya kuwaza kuhusu mgogoro wa kinadharia, tuhamasishe maendeleo, watu tujadili maendeleo.

  Paskali
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #44
  May 19, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,465
  Likes Received: 22,758
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mwasu, nchi yao ipi hiyo wakati Zanzibar ni sehemu ya JMT?.

  P.
   
 6. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #45
  May 19, 2017
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 25,465
  Likes Received: 22,758
  Trophy Points: 280
  Yes Mkuu Adharusi, tujadili maendeleo!.
  P.
   
 7. m

  mwasu JF-Expert Member

  #46
  May 19, 2017
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 8,259
  Likes Received: 6,152
  Trophy Points: 280
  Mikoa yote ni sehemu ya nchi lakini haina bendera, why wao wana bendera, wakati bendera ni alama ya nchi?, rais ni wa nchi, baraza la mawaziri ni la nchi, tuwape vilivyosalia tu kama fedha waende maana hata jeshi wana KMKM.
   
 8. n

  ndayilagije JF-Expert Member

  #47
  May 19, 2017
  Joined: Nov 7, 2016
  Messages: 5,799
  Likes Received: 5,914
  Trophy Points: 280
  Ishi bila hofu ya kufa because kifo kipo around the corner. Ukikihofia sana kitakukuta hujafanya lolote la maana.
   
 9. T

  TAU 1 JF-Expert Member

  #48
  May 19, 2017
  Joined: Jan 8, 2013
  Messages: 412
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Kwa hiyo Ben hakuwa na haki ya kuishi na haki ya kuishi iko kikatiba kwa kila mtanzania hata na huyo bibi yako na hii haihusaini na maisha wala maendeleo yoyote ya bibi yako kijijini! Hayo mengine si husiani nayo tuwaachie vyombo vya ulinzi na usalama vifanye kazi yake
   
 10. Zanzibar-Nyamwezi

  Zanzibar-Nyamwezi JF-Expert Member

  #49
  May 19, 2017
  Joined: Jun 11, 2013
  Messages: 810
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Manyanyaso na kubambikiziwa kesi kwa wananchi wenye asili ya Bara umepamba moto Zanzibar. Ushahidi mkubwa upo.
   
 11. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #50
  May 20, 2017
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Brother you want to be seen as focused by relating unrelated issues...hali ya sasa ya kisiasa ya Zanzibar na hayo mambo ya trademark mbona hayana uhusiano? Au kuna kitu sikuelewi?
   
 12. ikipendaroho

  ikipendaroho JF-Expert Member

  #51
  May 20, 2017
  Joined: Jul 26, 2015
  Messages: 1,624
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Maudhui yote ya makala umeinajisi. Nilijiuliza haya yote ni muendelezo wa chuki zako kwa Wazanzibari? Lakini nikakumbuka kumbe kuna nafasi ya wazi ya RC wa Kilimanjaro. Keep up the devil work!
   
 13. n

  nguvu JF-Expert Member

  #52
  May 20, 2017
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 4,996
  Likes Received: 1,273
  Trophy Points: 280
  Hatuwezi tukaacha kujadili siasa wakati mnajua wazi nini mlikifanya kwenye uchaguzi mkuu, pia wewe ni nani hadi utupangie cha kujadili? nyie jadilini uchumi na mtuache tujadili siasa hakuna mtu kumuingilia mwenzie,
   
 14. n

  nguvu JF-Expert Member

  #53
  May 20, 2017
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 4,996
  Likes Received: 1,273
  Trophy Points: 280
  Paskali umerogwa ama? znz hakuna mgogoro wa kisiasa? bora useme kuwa znz hakutakuwa na uchaguzi tena hadi 2020 hapo utaeleweka na kila mtu anafahamu kuwa hakutakuwa na uchaguzi tena, ila ni upuuzi usiovumilika kuwazuia watu kujadili siasa kwenye jukwaa la siasa
   
 15. J

  Jodari77 Member

  #54
  May 20, 2017
  Joined: Oct 24, 2015
  Messages: 6
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Assalaam Alaykum
  Wewe Pascal jina jengine unajita Pasco hili la Pasco ulifungua account kwa ajili ya kuandika mambo ya Zenj tu lakini naona yamekushinda
  Wewe kijana unachuki saana na Zenj inakuumiza saana kwenye moyo wako lakini kama imemshida Nyerere na ww na wenzako utaiyacha kama ilivyo
  Wewe ukiongea mambo ya Tanganyika unakuwa smart na clear lakini kwenye mambo ya Zenji unajitowa fahamu unakuwa kama Pr Lipumba
  Dhulma inayofanywa Zenj wewe ndio hujuwi kweli maneno yako Zenj hakuna mgogoro kuna dhulma inafanywa mpaka wanyama wanajuwa kwakweli mtu akijitia upofu kuhusu mambo Zenji hata kama ni msomi basi akuwa anajidhalilisha tuu
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...