Recent content by joda

  1. J

    JamiiForums Tanzania Nakosa imani na mbunge wangu, Halima Mdee. Tufanyeje kumuondoa kikatiba?

    barabara ya Makongo Juu haifai kwa matumizi yoyote ya binadamu..lakini bado tutamchagua Mdee... siwezi pigia kura ccm...yaani nikasimame kwenye mstari kutwa nzima napigwa na jua na misa nimeikosa siku hiyo kwaajili ya kuipigia kura ccm....no way..mdee wetu mpaka astaafu. na akistaafu kuna...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ofisi za AG na DPP kuna nini?

    Ndugu ungeomba uelezewe ni wapi ulipokosea katika point yako..ila katika kukusaidia ofisi ya DPP ipo chini ya ofisi ya AG.hao mawakili wa serikali ambao unasema ndiyo wanaongoza kesi badala ya mapolisi wapo kwa AG na wengine wapo kwa DPP lakini wote kwa ujumla bosi wao ni AG. DPP ni cheo ambacho...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa ndani amliza bosi wake vitu vya milioni 85

    Mwandishi wa habari hii pia hayupo makini, ni kanjanja huyu.mashtaka siku hizi hayasomwi na makarani, ni mawakili wa serikali ndiyo wanaosoma mashtaka. Pia sidhani kama alikuwa makini kuhusiana na masharti ya dhamana..milioni 85 dhamana milioni tano?? Kuna uongo mwingii ndani yake. houseboy...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameondoka nyumbani

  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameondoka nyumbani

    kautoa wapi huo Ukimwi? hana HIV bwana. nilikuwa namjibu mtu
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameondoka nyumbani

  7. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameondoka nyumbani

    Not now. lakini mbele i will. i m still very young kujinyima furaha.
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameondoka nyumbani

    ubaya wangu ni mdogo kuliko uzuri. mimi siyo sababu kwa hakika.
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameondoka nyumbani

    tehteh hata kama ni hivyo, ukiambiwa si ndiyo vizuri ili ufanyie kazi.
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameondoka nyumbani

    nakubaliana na wewe, lakini this is a christian marriage, nataka niwe kwenye position nzuri ili hata nikitaka kuquit natoka bila lawama yoyote, and if nikitaka kufanya maamuzi mengine ya mapenzi nisifungwe na kanisa. wazazi, wadhamini wanajua lakini naona wote wamepigwa na butwaa.mchungaji...
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameondoka nyumbani

    Miaka 6. hapana alianza drama mbalimbali ambazo hazina sababu ya maana hasa. Alikuwa ananitafutia sababu naona, lakini ni ngumu sana kuipata kwangu. basi akaamua akaondoka, akachukua baadhi ya nguo zake akaenda kuanza new life. every after few days anakuja kwa kigezo cha kumsalimu baby...
  12. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameondoka nyumbani

    Mume ameniacha, kaenda kupanga nyumba sehemu nyingine, ananiambia tuachane sababu hatufanani. Mbaya ananitumia meseji kila siku usiku akiniambia jinsi gani ananimiss na kuwa ni jinsi gani moyo wake unamuuma kwa kuniacha ila inambidi aniache tu. simjibu. Anaamini baada ya muda haya maumivu...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Swali ni Kama Mwigulu Ana Hoja na Sio Vinginevyo!!

    Kuna mkuu wa kaya, anasifika kwa hayo mavituz lakini bado ana heshima kwa taifa kama kiongozi.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Atm ya crdb buguruni sheli inanuka

    Mmmh.... very true.niliingia wiki iliyopita, mibuti ya walinzi wale aisee ni balaa.sikuwa na jinsi ilibidi nifunike pua tu ila wanaosimamia hiyo atm walishughukie.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    nimeipenda. aluta continue kamanda!
Back
Top Bottom