Recent content by Joche8819

  1. Joche8819

    ''Uchumi Umekaliwa'' ni sentensi iliyokuwa inatumika sana enzi fulani, lakini kwa hali inavyokwenda, kuna wachache wananufaika

    Hii sentensi ilikuwa inatumika sana enzi fulani. Lakini kwa hali inavyokwenda katika Taifa letu, Kuna watu wachache wananufaika na wengi wanahangaika. Wafanyakazi wa public sekta wamebaki wameganda wanatamani kwenda secta binafsi. Lakini wakiwaza security ya kazi wanabaki Ila mishahara...
  2. Joche8819

    Si kila fursa ni yako

    HELLOW Poleni wote wanaopenda mabadiliko chanya katika maisha yao ya sasa na ya baadae lakini pia wapenda mabadiliko katika maisha yao kwa mihangaiko ya siku nzima.... Humu duniani kila siku watu hugundua fursa mpya nyingi kila siku iendayo kwa Mungu Na fursa hizi wapo wanaozifanyia kazi na...
  3. Joche8819

    Fungua dunia yako

    UNASTAHILI ZAIDI YA UNACHOTAMANI Napenda kukusalimu na kukupa pole kwa mizunguko yoote ya siku ya leo... Pole mfanyakazi, pole mfanyabiashara, pole mwanafunzi, pole pia usiye na kazi lakini unajishughulisha kwa kila jambo ili kupata ujuzi zaidi, lakini pia nakusalimu wewe ambaye huna la kufanya...
  4. Joche8819

    Naomba link za Online Colleges

    Habari zenu wanaForum Naomba mnisaidie link ya kupata free college online.... natamani kusoma....
  5. Joche8819

    Huyu ndie CR7

    Nakuunga mkono
  6. Joche8819

    Huyu ndie CR7

    Ndio ivyo.. wakati mtazamaji mm na ww tunabishana ila ikumbukwe now Soccer sio kipaji ni Busness nani anauza???? Information Age hii kwa sasa
  7. Joche8819

    Huyu ndie CR7

    Bro..... unaelewa swala la Mchango??? Lakini pia kumbuka anayechagua nani achukue nini ni jopo la watu wengi.... hivyo sidhani ukisema ameiba Tuzo ya fulani uko sahihi.... Jamaa kapiga kazi kaonyesha Timu yake ndio kila kitu.. unaona kabisa jamaa ana filling na timu yake ile passion.....
  8. Joche8819

    Huyu ndie CR7

    Kutokucheza fainal cha EURO Sio kigezo..... kigezo mchango wake kwa timu..... unampaje mtu ambaye hana Tuzo hata moja..... wala medali....
Back
Top Bottom