Nikushari tu huyo poti ni kweli ana uwezo akili za shule bahati mbaya sana alinyimwa akili muhimu pamoja na akili ya uongozi hana. Uliza watu wakupe historia ya huyo poti wako hasa ma lecture wenzie pale UDSM. Huyu anasaka fursa sasa hivi na wakikosea kumrudisha wameuwa wizara.
Nathani humjui Mhongo, ni mtu mwenye uwezo kiakili ya academic lakina hana leadership skill ana arogance hawezi unganisha wotu sehemu ya kazi anamatusi ya hovyo sana. Kwa kifupi huyu anatakiwa kwenye nafasi ya utendaji awe na mtu wa kumsimamia. Muhongo anakiburi na dharau sana.
Kitengo cha Pasipoti kinakwenda kinyume kabisa na agizo la JPM la kupiga rushwa vita. Kitendo cha kuchelewesha pasipoti na kuomba rushwa hakikubaliki. Mtu ameomba pasipoti kuanzia mwezi wa nne mpaka leo akienda anaambia kuna matatizo ya pasipoti akienda kwenye kaunta anakuta wengi wa mwezi...
Mimi nadhani watakao umia ni wale wote waliokuwa wanapata vipato visivyo halali, wale waliokuwa wamezoeya kula kwa madili. Hata hao watumishi wa umma sio wote waliokuwa wanaishi kwa madili hayo ni sehemu ndogo tuu ya watumishi waliokuwa wanaishi kwa mchongo wengi watafurahia waliokuwa wanaishi...
Tunajua project ya kumjenga aliyowapa ili arudishwe Wizara ya Nishati na Madini. Huyu anajulikana alisema lazima Magufuli amrudisha Nishati na Madini ndio mnachopigania kwani hatufahamu mlivyopangwa kwenye Jf kila mara mtoe mada za kusifia tangu mwaka jana.
Nimelipokea agizo la Mh: Rais la kuzuia safari za nje kwawatumishi wa umma,niseme tuu naungana naye na nampongeza kwa hilo. Ushauriwangu angepiga marufuku safari zote zisizo na tija kwa taifa sio kuzuia safarizote. Mimi nadhani angeongezea kwa kusema kuwa pale panapo kuwa na ulazima wa...
Huu ni unafiki namajungu kujaribu kuhaibu watendkazi wazuri, wewe ni sawa na mchawi huyu jamaa anajulianani kichwa asiyejivuna wala majungu. Watanzania tuachane na kupaka matope watu wasio na matatizo
Jana nikiwa hapa Kigoma kwenye mazungumzo na watu mbalimbali nilishangazwa na baadhi mazungumzo ya watu kuhusu uchaguzi wa mwaka huu.
Wazee mablimbali waliokuwa kwenye majadiliano walieleza kuwa eti baada ya Mhe Lowassa kumaliza muda wa urais wa awamu ya tano, Rais wa awamu ya sita atakuwa ni...
Kautafiti kadogo nilikofanyakamegugundua kuwa matangazo ya ACT yamewekwa baada ya yale ya CCM na UKAWAkuwekwa. Cha kushangaza matangazo ya ACT yanawekwa karibu na yale UKAWA hatakama kwenye matangazo ya CCM kuna nafasi wao hawaweki matangazo yao upande waCCM wamejitahidi kubananisha naya UKAWA...
AHADI ZA MGOMBEA WA CCM 2010
1.Kujengareli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora
2.Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini
3.Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga
4.Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.