Hivi kumbe Watanzania wameshaamua kuhusu Lowassa

Joblube

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
369
Reaction score
151
Jana nikiwa hapa Kigoma kwenye mazungumzo na watu mbalimbali nilishangazwa na baadhi mazungumzo ya watu kuhusu uchaguzi wa mwaka huu.

Wazee mablimbali waliokuwa kwenye majadiliano walieleza kuwa eti baada ya Mhe Lowassa kumaliza muda wa urais wa awamu ya tano, Rais wa awamu ya sita atakuwa ni Mh Duni Haji, Mzee alikuwa anongea kwa msisitizo mkubwa kama vile anauhakika na anaosema.

Hii imenifanya niamini kwa Watanzania wamedhamiria mabadiliko.
 
Naomba uchaguzi uwe jumapili hii ya tarehe 04/10/2015 nimpe kura yangu Lowasa na ukawa. Sipendi ccm iendelee kupata maisha zaidi ya jumapili hii.
 
Hivi Duni wameshamfahamu mpaka kijijini kwako.Sidhani.Hii danganya toto.
Jana nikiwa hapa Kigoma kwenye mazungumzo na watu mbalimbali nilishangazwa na baadhi mazungumzo ya watu kuhusu uchaguzi wa mwaka huu.

Wazee mablimbali waliokuwa kwenye majadiliano walieleza kuwa eti baada ya Mhe Lowassa kumaliza muda wa urais wa awamu ya tano, Rais wa awamu ya sita atakuwa ni Mh Duni Haji, Mzee alikuwa anongea kwa msisitizo mkubwa kama vile anauhakika na anaosema.

Hii imenifanya niamini kwa Watanzania wamedhamiria mabadiliko.
 
Jana nikiwa hapa Kigoma kwenye mazungumzo na watu mbalimbali nilishangazwa na baadhi mazungumzo ya watu kuhusu uchaguzi wa mwaka huu.

Wazee mablimbali waliokuwa kwenye majadiliano walieleza kuwa eti baada ya Mhe Lowassa kumaliza muda wa urais wa awamu ya tano, Rais wa awamu ya sita atakuwa ni Mh Duni Haji, Mzee alikuwa anongea kwa msisitizo mkubwa kama vile anauhakika na anaosema.

Hii imenifanya niamini kwa Watanzania wamedhamiria mabadiliko.

Kweli UKAWA mmechanganyikiwa! HIVI HUKU KIGOMA KUNA KITU KINACHOITWA UKAWA au LOWASA?
Kweli wewe umelewa VILOBA
 
Hovyo kama hivyo kabisa.
 
Kweli UKAWA mmechanganyikiwa! HIVI HUKU KIGOMA KUNA KITU KINACHOITWA UKAWA au LOWASA?
Kweli wewe umelewa VILOBA

ww ndo umechanganyikiwa sema upo mahal gan wa2 tukupe taarfa maana hujitambui
 
hamtoamini kitakachotokea october 25. mnafikiri watanzania wote ni mazuzu.

Jana nikiwa hapa Kigoma kwenye mazungumzo na watu mbalimbali nilishangazwa na baadhi mazungumzo ya watu kuhusu uchaguzi wa mwaka huu.

Wazee mablimbali waliokuwa kwenye majadiliano walieleza kuwa eti baada ya Mhe Lowassa kumaliza muda wa urais wa awamu ya tano, Rais wa awamu ya sita atakuwa ni Mh Duni Haji, Mzee alikuwa anongea kwa msisitizo mkubwa kama vile anauhakika na anaosema.

Hii imenifanya niamini kwa Watanzania wamedhamiria mabadiliko.
 
Awamu ya 5 Lowassa, ya sita mama Regina

Kuleta kebehi hakusaidii kama raia wa nchi hii wameamua. Kinachopaswa ni kujipanga ili kufanya kazi pamoja ili kuendeleza nchi yetu chini ya Lowassa na Ukawa walao tufikie na kuzidi maendeleo ya majirani zetu kama Kenya na Rwanda.
Hata kama mchana huupendi lakini mapambazuko yakifika lazima uliache shuka na kuukabili mchana.
 
ww ndo umechanganyikiwa sema upo mahal gan wa2 tukupe taarfa maana hujitambui

Mlevi wa viloba au Mwendesha Boda boda hana status ya kunipa taarifa... kwa kifupi sipewi taarifa na mbwa bali na mwenye mbwa.... Dj Mbowe, Lowasa na Sumayi ndio huwa tunakaa meza moja..sio janga la kitaifa kama wewe....

CHAGUA MAGUFULI kwa mabiliko ya kweli na umoja wa kitaifa...
 
jamani mbona tunatukanana kwa mambo ya kupita haya, tumekuwa kama watu wa +254 ambao wao ni full ukabila,hivi uchaguzi ukiisha mtatizamana vipi nyusoni, tujaribu kuwa wastaarabu jamani, matusi hayajengi ila yanabomoa,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom