Recent content by jobe ayoub

  1. jobe ayoub

    Askari wawili wauawa na majambazi Kongowe

    Muda mchache uliopita,polisi wawili wameua,mmoja kujaruhiwa,mwingine kala kona kali huko mpakani mkuranga leo usiku.duu!
  2. jobe ayoub

    Rais wa Burkina Faso, Blaise Compaore amejiuzulu.Jeshi lachukua mamlaka ya nchi

    Maggid Mjengwa Blaise Compaore Aliyasaliti Mapinduzi Ya Umma, Na adhabu Imemfika... Ndugu Zangu, Najisikia furaha katika siku hii ya leo kuwaona vijana wale wa Burkinafaso, kwa kuamua kuingia mitaani wamemlazimisha Blaise Compaore kuachia ngazi. ... Siku hii ya leo inanikumbusha Jumamosi...
  3. jobe ayoub

    Maandamano dhidi ya utawala wa Rais Blaise Compaore nchini Burkina faso, Bunge lachomwa moto!

    Mambo ya rais kufanya atakavyo. huku tz wanatoka nje kwa amani,ccm wanawaona mafala,kule hakuna cha nje wala nini nikulipua tu. Burkina Faso parliament set ablaze Demonstrators breached the security around parliament and set it on fire Protesters angry at plans to allow Burkina Faso's...
  4. jobe ayoub

    Maandamano dhidi ya utawala wa Rais Blaise Compaore nchini Burkina faso, Bunge lachomwa moto!

    SASA HIVI burkinafaso wamechoma bunge kwa sababu RAIS anatakakuchakachua katiba WAMEKISANUA. hapa kwetu mnatuita wapinzani tuna vurugu kwa kutoka tu bungeni kwa amani... ccm ccm ccm mtupongeze sisi ni WAVUMILIVU! UKAWA uyeee IPO SIKU
  5. jobe ayoub

    Heka 20 zinauzwa bei poa

    Kwa wale wenye kuhitaji mashamba yenye ardhi mpyaa(virgin land), haijawahi kulimwa chochote. Au wajariamali wanaotaka mapori ya kuanzisha shule za bweni au viwanda. Basi wawasiliane nami watapata taarifa kamili. mahali: Kijiji: KIPANGEGE Kata: SOGA KONGOWE/KIBAHA UMBALI: KM 15, Kutoka...
  6. jobe ayoub

    Zitto Kabwe apewa tuzo ya Mtetezi wa Haki ya Hifadhi ya Jamii

    Hongera zake, ipo siku watatambua umuhimu wake.
  7. jobe ayoub

    Dr. Kitila na Mwanakijiji wawavaa wapinzani na wahafidhina...

    Kitila Mkumbo Bado tuna safari ndefu sana ya kuwaelewa CCM. Yaani kuna mtu alitarajia kwamba Sitta angetenda tofauti na wanavyotenda CCM? Yaani kuna watu walijifanya kusahau kwamba Sitta ni member wa cabinet au ndio kusema hawajui jinsi cabinet inavyofanya kazi? Yaani Waziri mwandamizi...
  8. jobe ayoub

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    Samuel Sasali anasema:- Kulikuwa hakuna haja ya Kutumia Mamilioni ya fedha kwa ajili ya Tume Ya Warioba Kukusanya maoni na Kujifungia wakati Rais anasema yale mambo ya muungano yanaweza kutatulika. Kulikuwa hakuna haja Kukusanya maoni ya Watanzania Kwa ajili ya Ukomo wa Ubunge wakati...
  9. jobe ayoub

    Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

    Shall we make it? wameshindwa hata kumsikiliza wakiwa na maana kwamba wamegoma/hawataki. kama mitoto ya chekechea vile.Bola tu bunge livunjwe kila mwananchi achukue sheria yake mkononi. WANAUDHI...
  10. jobe ayoub

    Unaambiwa hawa ndio watu 10 wenye nguvu Tanzania

    Rais Jakaya Kikwete.**Jumla ya Watanzania 438,726 walipiga kura kupendekeza majina mbalimbali. Watu 10 waling’ara zaidi kwa kugawana jumla ya kura asilimia 97.4, huku wengine ambao hawakuweza kuchomoza wakiambulia mgawo wa asilimia 2.6. Katika hao 10 waliong’ara zaidi, mtiririko kulingana...
  11. jobe ayoub

    Kangi Lugola amlipua Nape,Kinana na Rais Kikwete kuhusu mawaziri mizigo

    Mbunge wa Mwibara Mh Kangi Lugola amesema kuwa Mh. Kikwete amewakosea sana Watanzania kwa kurudisha mawaziri mizigo. Alienda mbali zaidi na kusema CCM inaelekea kufia mikononi mwa Jakaya Kikwete kwa kufanya maamuzi mabovu. Kangi Lugola Ndugu Nape kwa upande wake amekuwa...
  12. jobe ayoub

    Revealed:JK awapongeza mawaziri waliojiuzulu

    teh teh teh, unaharaka huyo?
  13. jobe ayoub

    Lissu amvaa tena zitto.....

    . Zitto atatimuliwa MNADHIMU Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tindu Lissu, amesema Mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe atakoma kuwa mwanachama mara tu baada ya mahakama itakapolirudisha suala hilo chamani. Katika mahojiano maalum...
  14. jobe ayoub

    Unaweza kuizungumziaje Picha hii??

    Je wanajitambua na wanajua wanachoshabikia,au wanafata mkumbo tu?
Back
Top Bottom