Ningewafukuza kazi mawaziri wote waliohusishwa na wizi, kufuatilia kwa kina nani wameiba hizo pesa na anaishi wapi, timua kazi na kisha kuwawajibisha kwanza kwa kuwafilisi, pili kuwafunga kama wahujumu uchumi. Period. Baaaye ningeteua mawazi hata 4 kutoka vyama pinzani ili wanisaidie kumalizia...
Moja kati ya matatizo makubwa ya muungano ni hali ya muungano wenyewe kutofahamika vyema kwa wananchi. Hivi huu muungano kwa nini unakuwa kama wa siri hivi? mengi hayajulikani kuhusu muungano, hata waziri mwenyewe alipochanganywa na Tundu Lisu alikiri kuwa mambo mengine hayajui...(Hao unaowasema...
Sina uhakika na watanganyika kutomiliki ardhi Zanzibar ila makanisa na taasisi za kidini ni tofauti sana na mtu binafsi, na hata hivyo, kanisa kama RC, SDA, KKKT, TAG na mengineyo kutoka tanganyika pamoja na kuwa na usajili wa kanisa huku tanganyika, bado wanapoenda kuanzisha makanisa zanzibar...
Hebu nisaidieni hapa. Bajeti ya Kenya ni zaidi ya shilingi za kitanzania trilioni 20, nchi ndogo kijiografia ingawa kiidadi inakaribiana na TZ, wametenga 20% ya bajeti yao kwa ajili ya umeme maana yake wanatoa zaidi ya bilioni 500 kwa ajili ya umeme. TZ 3% YA TRILIONI 13 za bajeti yetu ambayo...
Majini, mapepo, mizimu nk ni majina yanayowakilisha kundi la malaika walioasi mbinguni chini ya uongozi wa shetani ama Lusifa. Hawa wamegawanyika katika makundi makuu matatu. 1.) Falme na malaka, 2.) wakuu wa giza hili, 3.)majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
Source ni...
Iko shida hapa! yamkini ni historia inataka kujirudia. Sudani imegawanyika sembuse Tanganyika na Zanzibar? Si wanaona wanapunjwa? acha waende zao; dhambi hiyo itawatafuna. Tunawabeba sana ila hawaoni tu. Tulizika jina la taifa letu,(Tanganyika) wao wakabaki na lao..Zanzibar, wanayo bendera sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.