Recent content by JOASH MUSSA

  1. JOASH MUSSA

    Kilimanjaro: Viongozi wanne wa CHADEMA Mkoani humo wakamatwa kwa amri ya DC Sabaya

    Shule ni ya serikali, kwenye utendaji wake wrote serikali inagharamia, kama unataka kutoa msaada kwa nini usiupeleke serikalini? Au kwa nini usitoe taarifa serikalini kuwa unaenda pale kwa kutoa A B C wao watakupa utaratibu mwafaka, unaendaje kuweka mbolea kwa shamba ambalo sio lako, na halipo...
  2. JOASH MUSSA

    Ajira mpya 44,807 Serikalini zaja 2019/2020, Watumishi 290,625 watapandishwa vyeo, Mishahara mipya kitendawili, Uhakiki kuendelea.

    Inamaana hii nchi / Serikali wanaotakiwa kuongezwa mishahara, motisha nk ni vyombo vya ulinzi na usalama pekee? kwakweli macho na masikio ni mei mosi, hii hali inatisha na ni Bomu linalofukuta kimyakimya tujipe muda
  3. JOASH MUSSA

    AFRIKA KUSINI: Makampuni ya mazishi yajipanga kumshtaki mchungaji aliyefufua Mtu

    Yesu alimfufua Lazaro, ila hakumfufua hivi hivi, kwanza alimuacha mpaka akaoza na kutoa harufu, pili maombi yake hayakuwa ya bei rahisi, Biblia inasema Yesu alilia!! Aliomba na kumuita Lazaro, Lazaro alipotoka watu walikimbia
  4. JOASH MUSSA

    Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    Hakuna yeyote, tulimkabidhi Kahama Mining Corporation Ltd, baadaye akajibidua akajiita Barrick, baadaye akazaa mwana akamwita Accacia, ikumbukwe pia kuna anayeitwa Pangea Minerals, huyu bwana ndiye aliyemsainisha Karamagi mkataba London, huyu bwana ni Dalali, yeye akamuuzia Barrick / Acacia...
  5. JOASH MUSSA

    Mkuu wa Mkoa awataka Wananchi kutotumia malipo ya Korosho kama kigezo cha kutowapeleka Watoto shule

    Kama anakukera kwa nini wewe usimtoe? "Amelaaniwa amtegemeaye binadamu kama kinga yake"
  6. JOASH MUSSA

    Mtwara: Mkuu wa Wilaya wa Tandahimba, awataka wazazi wapeleke watoto Shule na Waache kusingizia Korosho

    Serikali inagharamia vyooote! Kasoro uniform, basi wangeenda bila uniform, kutokwenda wanamkomoa nani?
  7. JOASH MUSSA

    Waziri wa Fedha: Nchi inapita kwenye kipindi kigumu, wafadhili wamepunguza misaada

    Huwezi ukachukua chafu ukaiweka kwenye safi, ile safi ikabaki safi, hizo mambo za good governance, mimba shuleni, cybercrime act, nk hiyo ni kichaka cha kujifichia ila dhumuni lao ni tukubali ushoga, Kazi kubwa ya Shetani, ni kudanganya.. Hapa naona hata Chama kile kimeengia chaka kinatetea...
  8. JOASH MUSSA

    Rais Magufuli akagua magari ya Jeshi yatakayobeba Korosho iwapo Wanunuzi hawatanunua

    Sio korosho hata wewe wakikuhitaji utasafirishwa
  9. JOASH MUSSA

    Operation Jokate yagonga mwamba, yakutana na rungu la Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina

    Ni kweli, waziri kama anapenda mifugo yake statute sehemu zenye malisho, sio kwenye hifadhi tengefu, huyu waziri mzigo
  10. JOASH MUSSA

    TRA Msimstafute Mchawi. Mchawi ni TRA

    Hapo kwenye makadirio wenyewe wanaita Provisional Tax nilikadiriwa kwa mwaka 1.2ml Mtaji nilijaza 1.5ml wakanipa slips za kwenda kulipa, TIN walikataa kunipa mpaka nilipe hiyo niliyokadiriwa na Mhasibu, nikalipa robo ambayo ni 300,000 nikapewa TIN ila nikamtuma mwenzangu afuatilie Tax Clearance...
  11. JOASH MUSSA

    Prof. Kabudi: Rais wa Jamhuri ana mamlaka ya kuwaagiza mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi (Zanzibar)

    Nchi hii ina miamala mitatu, kuna muamala wa serikali, Bunge na Mahakama.. Muamala wa serikali ndio mkuu uko mmoja tu, upo pale magogoni feri na sasa unahamia Dodoma,
  12. JOASH MUSSA

    Dalili ya Kuvunjwa kwa CHADEMA na kugawana mali kikatiba

    ndio maana chama hakijengi ofisi, wala mradi wa maendeleo, kinachojua ni kukopa kwa freeman, na kupanga kwa mtei, chama kazi yake kubwa ni kukopa na kulipana.. Na mwisho hakutakuwa na Salio la kupeleka kwa wasiojiweza zaidi ya madeni
  13. JOASH MUSSA

    David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA. Apoteza imani na upinzani katika kupambana na ufisadi

    Bado Mke wake, kama mume kafika bei, jua mke yupo mbioni... Jesca Kafulila, nakuona kwa mbaali.. Karibu chama tawala, karibu kiumeni
  14. JOASH MUSSA

    David Kafulila ajivua uanachama CHADEMA. Apoteza imani na upinzani katika kupambana na ufisadi

    utabaki na nani? Mpaka kufika 2020 ile ofisi ya ufipa mnayoiita makao makuu itakuwa ofisi ya CCM tawi la Ufipa, muda ni wakati mzuri sana.. Pambana mdogo wangu
Back
Top Bottom