Recent content by JOANNA

  1. JOANNA

    Nimeota ndoto hizi naombeni ufafanuzi

    Kama ilivyo ID yako you are a choosen one.Wewe ni kiongozi wa familia yenu katika ulimwengu wa roho.Wewe ni lango (Spiritual gate) katika ulimwengu wa roho,wewe ni watchman.Familia yenu/(Kaka yako)wanakutegemea anointing yako. Reference Mwanzo 32, Yakobo alipigana na Malaika.Katika ndoto yako...
  2. JOANNA

    Tanzania ya sasa sio sehemu salama kwa mtu yoyote, ukikamatwa na polisi wanaweza kukuumiza na wasifanywe chochote mageuzi ni lazima

    Hatuwezi kuwa salama Tangayika imetekwa ,uchaguzi ulitekwa, jeshi limetekwa, wakati wa mauaji ya oktoba hospitali zilitekwa, vyuo vikuu vimetekwa hawawezi hata kufanya midahalo ya wazi wakizungumza wanatekwa,bunge limetekwa, vyombo vya habari vimetekwa na watu 10,000 wameuwawa na walipofanya...
  3. JOANNA

    Inquiry Commission: Invites citizens, CSOs...to submit information, evidence, opinions and recommendations

    Chonde chonde msije mkajitoa ufahamu kuisaidia hii tume, watawapoteza na hawatataka mzikwe kama walivyovyowafanyia ndugu zetu wa october.
  4. JOANNA

    Watanzania bara hawana udini

    Yaani kweli kabisa sisi watanganyika hatuna vita za udini, Wazee wetu walitulea hivyo.Shule za kikristo tumesoma na waisilamu pamoja, Hospitali za waislamu wakristo tumetibiwa bila ubaguzi na tunashirikiana katika shughuli zote za maendeleo ya jamii yetu.Vikundi vya vikoba mama zetu...
  5. JOANNA

    Agents Provocateur: askari kanzu wanaojipenyeza kwenye maandamano ya amani kufanya vurugu ili kuyachafua na kuhalalisha nguvu kubwa ya vyombo vya dola

    Kunahitajika mkakati wa namna ya kutatua hili tatizo.Kama ni askari wanafanya hivyo lengo lao ni kuwafanya raia waungane nao ili wawatafutie sababu za kuwadhuru.Tusikubali kuhamasishwa kufanya vurugu haya ni maandamano ya amani.
  6. JOANNA

    PostGE2025 Wahanga wa MO29 Epukeni kushirikiana na Tume iliyoundwa

    Yes Lengo la tume ya Samia ni kuwatafuta wenye ushahidi,ili wawamalize na kupoteza ushahidi.
  7. JOANNA

    PostGE2025 Mange amwandikia barua Trump kuhusu kufungwa kwa akaunti zake na Meta baada ya kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    No she is not crazy, she is creating a legal ground to protect herself, tayari ana case Tanzania kwa hiyo anahitaji evidence of every mistreatment.Hiyo barua itamsaidia kwenye kesi yake na wanasheria watakaomsaidia.
  8. JOANNA

    PostGE2025 Heche awatembelea Niffer na Chavala gerezani Segerea kuwatia Moyo. Aishutumu Serikali ya CCM kwa kubambikizia watu kesi

    Hii ndio sababu kubwa maridhiano hayawezi kufanyika na serikali ya samia.Wale ambao ni sauti ya wananchi mnawauwa, mnawateka, mnawatishia na kuwabambikizia kesi.Masikio yao hayana uwezo wa kusikiliza ukweli.So insecured and triggered by the truth.Wanasema tuongelee amani, wakati tukiongea ukweli...
  9. JOANNA

    PostGE2025 Mwasema tuheshimu viapo vyetu vya jeshi. Nyie mliheshimu vyenu

    Dada Mange alisema baadhi ya wanajeshi wetu wamekuwa depressed and suicidal. It is not easy for those standing with justice. May the throne of justice give you strength!
  10. JOANNA

    Jeshi la Guinea-Bissau lachukua madaraka baada ya Uchaguzi wenye utata

    Gen Mkunda you took an envelope,they took your voice, they took your strength, they took lives of your people, you lost your dignity.You sold your people with an envelope. Your envelope was a blood transaction. Augustino Polepole advised you to return the envelope. If another opportunity comes...
  11. JOANNA

    Malalamiko ya Serikali na majibu ya EU

    Wote waliofanikiwa kurekodi video ni mashujaa wa nchi yetu.Haikuwa rahisi kuchukua picha huku unakimbia kuokoa maisha yako.Bila hizi picha tusingekuwa na ushahidi wowote.Ndugu zetu waliouwawa wangepoteza haki zao.Hakika tunawashukuru, history will honor you.
  12. JOANNA

    PostGE2025 Tuhuma za Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima kwa Jeshi la Polisi zinaweza kupelekea kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu

    Sio habari ya utakatifu ni habari ya kufuata sheria na katiba za nchi.Tunataka kuona wote waliowauwa ndugu zetu wanawajibishwa.
  13. JOANNA

    PostGE2025 Tuhuma za Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima kwa Jeshi la Polisi zinaweza kupelekea kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu

    Hiyo imani yetu na Polisi ilipotea oktoba 29 walivyowauwa ndugu zetu 10000.Watu hawakuwa na silaha yoyote mnawapiga risasi hatuwezi kuwaamini mikono yenu imejaa damu.Na mpaka sasa bado hamfuati sheria mnateka watu na kuwashikilia kinyume cha haki za binadamu.
  14. JOANNA

    PostGE2025 Gen Z sio kizazi cha wafia dini

    Yes they are seeking for the truth and manifestation of Power.
  15. JOANNA

    Prayer Alter for Humphrey Polepole

    Happy Birthday Shujaa wetu. This too shall come to pass
Back
Top Bottom