Recent content by Jo une

  1. J

    Kwanini Makampuni ya Simu yanalazimika kuhuisha namba za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya?

    Ni kanuni, miongozo, Sheria dhaifu hakuna mantiki yeyote! Mbona akaunti za benki kila mmoja ana yake sijawahi kusikia ukishindwa kuiendesha wanaigawa. Tigo waligawa namba yangu kwa mtu, walinikera hadi Leo siwapendi. Wavivu wa kufikiri kuchanganya namba mbona vocha hazijirudii!
  2. J

    Hii technology ya Israel ya kulipua kwa Simu na laptop wangekuwa nayo hawa watekaji na Wauaji hali ingekuwa mbaya sana .

    Mzungu ni balaa. Juzi Makamu wa rais kazindua uwashaji vifaa vya usikivu kwa watoto 14 (cochlear implant) Muhimbili, wameshasetiwa vifaa ktk sikio ila hakifanyi kazi had kiwashwe kwa mawimbi, mfumo unaowasha kifaa hicho ni ambao upo nje mtu ana u control, so mtengenezaji si anaweza akazima muda...
  3. J

    Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

    Labda kama kuna foleni ndio utatumia muda wote huo. Au uwe mgeni kwa wenyeji wanajua ikiwa kama ni wikiendi hamana foleni G'mboto to Posta haizidi dakika 15
  4. J

    Chanika ni kama unaenda mkoa mwingine

    Kinachoibeba Kibaha kuwa na barabara njia 8
  5. J

    Kwanini Makampuni ya Simu yanalazimika kuhuisha namba za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya?

    Jamaa wahuni mno. Watu wapo mbali kusonga mbele wao wanalazimisha namba hii iwe active
  6. J

    Kwanini Makampuni ya Simu yanalazimika kuhuisha namba za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya?

    Kwa kifupi kinachofanywa ni uhuni. Si waunde namba mpya wampe mteja, kwani lazima ambayo imeshatumika? Wakitaka kujua namba zipi zipo active si system inaonyesha? Wenzetu wapo ktk teknolojia ya AI sisi bado tunagombania cheap.
  7. J

    DOKEZO Responded Mwanangu ameuawa kwa kupigwa na Mwalimu lakini kesi inazungushwa

    Nakupenda Waziri wangu, miongoni mwa wachache walio tayari kujibu hoja za watu wa hali zote. Be blessed.
  8. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Bora waseme ni mateso makubwa kuishi mjini bila umeme. Umeme unakatwa kama dozi ya Panadol. Kila siku, bora mkate mwezi mrekebishe, baada ya hapo mridishe. Nimewatusi Leo...
  9. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ila Tanesco, Mungu anawaona. Ukonga Dar es Salaam, wamewakosea nini? Kila siku usiku mnakata umeme? Ratiba ya mgao imeegemea huku tu? Shirika hili ni kero jamani, too much.
  10. J

    Huu umeme wamekata nchi nzima?

    Ila Tanesco kero sana
  11. J

    Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Uchumba si lazima kuzini. Afrika hata mimba huchumbiwa, akatunzwa hd sheria iruhusu.
  12. J

    Hizi ndio nchi ambazo Watu wake hawana Furaha duniani, Tanzania ipo

    Yaani Palestina haimo? Wakati raia wake muda wowote huweza kufa! Hasa watoto, wanawake.
  13. J

    Super Market za Tanzania ni ghali sana kuliko za Marekani. Mzungu huyu anasema ukweli

    Upo sahihi kwa mangi, muha, mgosi mtaani ndio mwokozi. Yaani super market ni kama eneo la anasa bongo, vitu Bei juu wakati wao wananunua kwa jumla madukani makuu au viwandani. Nchi za Kusini mwa Afrika wananchi wao wote wamezoea supermarkets nenda tu hapo Tunduma Mpakani ukivuka duka unakuta ni...
  14. J

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hivi Tanesco ni lini mtaona Raha mkifanya kazi kwa weledi? Ratiba ya mgao hamtoi mnakata umeme mnavyojisikia nyie. Kwa nini hamuwi wazalenda kwa kuitumikia nchi yenu ipasavyo? Kutoa tu taarifa ya ratiba ni issue,Kitengo cha taarifa kinafanya nini? Mfano wiki hii maeneo mengi ya Dar mmekata umeme...
  15. J

    Je Water Guard ni salama?

    Maji ya dukani yote yana chrlorine hata ya mamlaka za maji mfano DAWASA wanatibu maji kwa chlorine, bila chlorine labda ya mtoni, baharini au ziwani
Back
Top Bottom