Je Water Guard ni salama?

kyliekim

Member
Oct 2, 2013
48
26
Jaman naomben kujua Je Water Guard nisalama ukiweka kwenye maji tuu na kunywa maana naskia wanasema siyo salama mpaka uchemshe maji pls tusaidiane wapa wataalamu
 
Nimesoma Ila kuna nes hapa ananiambia si yo salama kama tunavyodhan ndiyo maana nikaomba msaada
Ni salama,ina chemikali inayoua vijidudu vinavyoambukiza maradhi ya tumbo.Ni muhimu pia kuchuja maji kutoa vumbi na viuchafu vingne.
Huyo nesi anaongea maneno ya kusikia tu lakini hakuna tafiti yoyote mpaka sasa niliyowahi kuisoma ikieleza tofauti juu ya usalama wa maji yaliyochanganywa na Water guard
 
Kama inaweza to a madoa katika nguo inaweza he kuwa salama katika mwili wa binadam???
 
Jaman naomben kujua Je Water Guard nisalama ukiweka kwenye maji tuu na kunywa maana naskia wanasema siyo salama mpaka uchemshe maji pls tusaidiane wapa wataalamu
Ni chlorine ,inakubarika kutibu maji
 
Chemical yoyote inamadhara ikitumiwa vibaya hata water guard unatakiwa utumie kwa kufuata maelekezo vinzuri ikiwezekana kuchemsha maji na kuchuja ni bora zaidi
 
Kama inaweza to a madoa katika nguo inaweza he kuwa salama katika mwili wa binadam???
Nadhani itakua kweli inatoa madoa,
Water guard ina chlorine ambayo hufanya kazi km breaching agent(Hivo ina uwezo wa kuondoa madoa).Swala hapa linalo tofautisha ni concentration ipi ya chlorine ndio huleta matumizi tofauti.Kwny water guard iko kidg na ni Salama kabisa.Hata maji tunayotumia toka bombani hupitia utaratibu wa kusafishwa na kuwekewa chlorine lakini hatupati madhara sabab ya properties zake za kichemia.Kuelezea mechanism nadhan nitakua nakwenda out of scope ila kiufupi Half life(Nusu wa muda wa maisha) ya chlorine husaidia kuwa salama ikiwa kadri ya muda unavyozidi kusonga tangu kuwekwa kwa Chlorine concentration yake hupungua hivo kutokua na madhara kwa watumiaji.
 
Jaman naomben kujua Je Water Guard nisalama ukiweka kwenye maji tuu na kunywa maana naskia wanasema siyo salama mpaka uchemshe maji pls tusaidiane wapa wataalamu

Mimi demu wangu kila akiiweka tu katika maji yetu ya Kunywa naona Uume / Mkuyenge wangu ' unadinda ' sana tu hivyo Kwangu Mimi naona Water Guard ina faida ya ' Kutukuka '.
 
Maji ya dukani yote yana chrlorine hata ya mamlaka za maji mfano DAWASA wanatibu maji kwa chlorine, bila chlorine labda ya mtoni, baharini au ziwani
 
Back
Top Bottom