Recent content by jnmallya

  1. J

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Bank zoote zinaudumia wateja na pia kama Crdb bank ni bank inayoongoza na kutoa Huduma zake nyingii serikalini na imekua ikionyeshwa ata katika vyombo vya habari tukishuhudia ata jana tu walikua huko magereza sasa cha ajabu ata Rais wetu halioni hilo inasikitisha sanaa kwakweli. Ila crdb bank...
  2. J

    CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

    Me nachokiona cha msingi night kuwasiliana nao kupitia namba zao za call center upate msaada WA haraka kuliko kuita watu waje watoe ushahidi ambao hawako katika Hali kama yako kwasasa. Wanapatikana kwa namba 0714197700 , 0789197700 na 0222197700 kaka Sema nao usikie wengine tunaendelea kufurahia...
  3. J

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Mikopo ya Crdb ni salama.Unapata riba na insurance ya mkopo wako ata ukipoteza maisha bahati mbaya familia haijikupata usumbufu WA madeni.
  4. J

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Crdb bank ni benki itoayo mikopo kwa riba nzuri na insurance ya mikopo yako ni hakika.Ata ikatokea ukapoteza maisha insurance Ile Italipa mikopo yako na Familia yako au ndugu kubaki salama bila deni.
  5. J

    Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    MICHUZI BLOG: Benki ya CRDB imekanusha vikali habari kwamba imesimamisha mikopo kutokana na "hali tete ya uchumi wa nchi ". MICHUZI BLOG: Benki ya CRDB imekanusha vikali habari kwamba imesimamisha mikopo kutokana na "hali tete ya uchumi wa nchi ".
  6. J

    Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Leo mmeacha kumshambulia Rais Magufuli mmeamia CRDB bank! ama kweli vizuri vinajiuza...
  7. J

    Kuna haja ya Rais kuchunguza mchakato wa CRDB kushinda tenda ya kulipa mishahara ya serikali

    Harakati za kuponda bila hoja zimeendelea kuwa big deal Tanzania yetu. Badala ya benki iliyokosa tenda ikaze ili next time ishinde, inakaza kwenye kuponda na kupotosha. Namna hii mshindi atabaki kuwa mshindi. Haya ndio mambo ya Debe tupu !!
  8. J

  9. J

    Charles Kimei (CRDB) jiuzulu, kashfa ya kontena, tiketi TFF, wanafunzi na ujambazi CRDB

    Siku zoote mti wenye matunda mazuri hutupiwa mawe, CRDB ni bank inayojielewa mkurugenzi wao mkuu DR Kimei amefanya mambo mengi mazuri na makubwa yanayoonekana na kuhesabika.Ifikie wakati watanzania tujue kusifia na sio kuchafua tu..2016 uwe mwaka wakuongelea au kufanya mazuri na sio kuongea...
  10. J

    Charles Kimei (CRDB) jiuzulu, kashfa ya kontena, tiketi TFF, wanafunzi na ujambazi CRDB

    Siku zoote mti wenye matunda hutupiwa mawe.CRDB ni benki inayojielewa na mkurugenzi wao mkuu Dr Kimei kafanya mengi makubwaa tu yanayoonekana na kuhesabika..ifike wakati watanzania tuwe na mioyo yakusifia na sio kuchafua tu.
Back
Top Bottom