Recent content by Jnaff

  1. Jnaff

    Nalaani vikali wazee wa kimila ya Kimasai Laigwanani kutumika na wanasiasa uchwara

    Hizo ni kampeni za kisiri siri zinaendelea ila ingekua ni viongozi wa chadema wenye hiyo kampeni inayoendelea tungeshasikia mabomu yakilia na polisi wangeshamwagwa wa kutosha.
  2. Jnaff

    Polisi wahaha juu ya kauli ya CHADEMA kuimarisha ulinzi wa viongozi kupitia Red Brigade

    unajua tatizo lenu uelewa wenu bado ni finyu coz mnaona kama wahalifu wote wa hii nchi na wanaotumikia vifungo jela ni wafuasi wa Chadema ndo maana yule jamaa alitoa ile kauli bila kufikiria kumbukeni kuwa kwa mantiki hiyo hata nyinyi mtapigwa 2 mkienda wrong coz hamna nembo za chama chenu usoni.
  3. Jnaff

    Nani alaumiwe, ni CHADEMA au CCM?

    acha ushamba wewe kwani Chadema ikifanya mkutano wake bila kuingiliwa na polisi mauaji yatatokea wapi?? Au unamaanisha Chadema wakiandamana watu wanakufa automatically??? Nieleweshe hapo
  4. Jnaff

    CHADEMA, kwanini Dr. Slaa hachukuliwi hatua?

    mkuu umenena mambo mazitooo!!! Nimeipenda hii
  5. Jnaff

    In english

    Anayetukana hajui kitu i mean ni idiot
  6. Jnaff

    In english

    Which position am i in ur family
  7. Jnaff

    In english

  8. Jnaff

    ARUSHA;Baada ya maandamano ya Wazee wa ukoo kushindikana,sasa kufanya mkutano STADIUM

    Ukiwa akili yako inachaj sawasawa utagundua triki inayochezwa hapo yote hii ni ili itokee fujo tena huu uchaguzi uahirishwe wakuu hapa uchaguz hamna till 2015
  9. Jnaff

    A-Towners....hapa wapi......?

    Hapo ni sakina baba la baba mchukua picha alikua maeneo ya supermaket pale
  10. Jnaff

    Umaarufu wa CHADEMA washuka

    Iliyopoteza umaarufu ni nyinyiem wewe si Chadema fanya research kabla ya kupost matope yako.
  11. Jnaff

    Ujio wa Obama: Kenya says 'All lions in Tanzania are Kenyan'

    Acha kushabikia ujinga wewe kuna mambo ya kujiulliza kuhusu ujio wa huyu mjamaa hapa Tz cyo tuone ni fahari kutembelewa na huyu jamaa, una uhakika haendi Kenya kwa ajili hiyo???
  12. Jnaff

    Mzuri wa sura tu

    hujaielewa mada jamaa kataka kujua ni mapenz ya aina gani? Coz tusimlaumu pengine kweli hakua na pesa ila si angemwambia jamaa??? No real love nowdays under the sun
  13. Jnaff

    Watanzania wa Dar! Andaeni mabango...

    kupigwa hamtapigwa ila m'make sure mnafikisha ujumbe kwa wakati muafaka
Back
Top Bottom