Recent content by jmujuni

  1. jmujuni

    Lowassa: Polisi wasipochukua hatua, sisi tutachukua hatua wenyewe

    Adhubutu kuleta machafuko aone kuwa nchi hii ina amiri jeshi mkuu,
  2. jmujuni

    Lowassa: Polisi wasipochukua hatua, sisi tutachukua hatua wenyewe

    Huyo hana jipya kabisaaa! yeye kila kukicha anakuja na hoja hizo hizo, achukue hatua gani huyo? alisema ataingia ikulu asubuhu asubuhi yako wapi? akasema atapeleka tume ya uchaguz the ag uholanzi mpk wa leo, akichezea kwa magufuli atakipata kichapo kikali cha hapa ni kazi tu.
  3. jmujuni

    Kubenea aibua Ufisadi wa Billion 1.2

    Chama chake kubenea ndo kilikuwa mstar wa mbele kufichua mafisadi ndani ya nchi hii, watanzania tukakipenda, lkn cha kushangaza mtu waliyemsema kuwa ni fisadi na kupiga kelele bungeni kwa kwa kumsuta kwa vidole vyao leo ndo wanaishi naye ndani ya chama chao! Ss watujibu walichokisema khs huyo...
  4. jmujuni

    Kubenea aibua Ufisadi wa Billion 1.2

    Huyo Kubenea atakuja na hoja gani wkt chama chake kilimpokea fisadi ili awafikishe IKULU? kwasasa hakuna mtanzania atakaye wasikiliza hao, tumeamini alichosema Dr Slaaa,
  5. jmujuni

    Uongozi wa Bunge: Mkopo wa gari kwa Wabunge ni Milioni 90, hautaongezwa

    Tunamsubir mzee wa kazi tu kama atawapa bajaji, na hili asifanye mchezo, ubunge sio biashara, akifanya hivyo hata maharibino hawatauwawa, kwani wanaokimbilia kwa waganga kusakama ubunge wataacha na kuuona ubunge kuwa ni utumishi wa kuwatumikia wananchi wao na sio kutunisha matumbo kama walivyozoea.
  6. jmujuni

    Uongozi wa Bunge: Mkopo wa gari kwa Wabunge ni Milioni 90, hautaongezwa

    Hiv kazi ya mbunge ni kuwa na cruiser? tumewatuma huko kudai magari, hata bajaji ni gar watembelee hizo, daktar anayeokoa maisha ya binadamu hatambuliki mbunge anayepewa ajira na wananchi wake bila hata kwenda chuo cha ubunge eti wanataka 130 mil, Magufuli anza na hao waje waitambue slogani yako...
  7. jmujuni

    Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

    Rais wetu mstaafu Kikwete tunampenda na tutaendelea kumpenda, kama unamchukia mchukie wewe! sisi bado tunayatambua mema aliyoyafanya ndani ya utawala wake.
  8. jmujuni

    Wizara zinazofutwa hadharani

    Nchi hii ilikuwa imeoza, Kikwete hakuwa mbaya hata kidogo, sema washauri wake ndo walikuwa wabaya, mpk tulikuwa na wazir asiyekuwa na wizara maalmu.
  9. jmujuni

    Baraza la Mawaziri? Magufuli atinga ofisini kwa Waziri Mkuu na kufanya nae mazungumzo

    Ukawa mkalale, nyie mnajua kupiga kelele bungeni na kutoka nje,
  10. jmujuni

    Baraza la Mawaziri? Magufuli atinga ofisini kwa Waziri Mkuu na kufanya nae mazungumzo

    Sio kila kitu kinachozungumzwa na viongozi wetu kuwekwa hadharani, kuna mambo ambayo ni ya wao wawili kama walivyofanya, Safi sn rais wetu hiyo ndo kazi tu.
  11. jmujuni

    Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar zitakuwepo?

    Muache Magufuli aitwe Magufuli, nyie ukawa mnajua kupiga kelele na kutoka nje ya bunge!!! ndio maana Magufuli kawaita watoto!!!!!
  12. jmujuni

    Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar zitakuwepo?

    We usilete itikadi zako za vyama, hapa tunaongelea mtu sio vyama, nyie ukawa kweli mna matatizo!! unalinganisha uwezo na akili ya magufuli, na UKAWA Ukawa chari haraka
  13. jmujuni

    Wizara nane kufutwa, nyingine kuunganishwa

    Huo ndo utendaji makini, yaani ataokoa fedha nyingi kama atatekeleza uhamuz wake huo wa kuzipunguza wizara hizo na kubaki 20, yaani mpk tulikuwa na wazir asiyekuwa na wizara maalmu?!!! jamani urumieni kodi za watanzania, kweli Magufuli ni Kazi tu.
  14. jmujuni

    Naomba kujua alipo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Tluway Sumaye

    Maneno yote aliyokuwa anayasema yameingia mfukoni mwake, kwanza sikuwahi ktk kuzaliwa kwangu na kukua kufikia hapa kumwona mtu ambaye ni kigeu geu kama Sumaye!! yeye ndo alisimama na kuwaeleza watanzania kuwa wakimpitisha Lowasa anaihama ccm!!!! lkn bila aibu tulimwona akimfuata huko huko na...
Back
Top Bottom