Mtoa mada hujaeleweka vyema, Lakini huyu Musiba analipenda Taifa lake kwakweli.
Naona humu JF kazi kupinga mambo yahusuyo serikali tu bila kuangalia kesho yenu ipoje. WENZETU LIBYA WANALIA LEO SABABU ZA UJINGA HIZIHIZI. Tafadhali tuhamasishe amani kwa Taifa ili vizazi vijavyo vipate kuneemeka...
Wazo zuri saàna mtoa mada, lakini huoni kama mmarekani anataka kutuaminisha ya kwamba simu zao ziko salama na wakati nazo zinaongozwa nao mashirika hayo? Mtoa mada hii inaitwa Business inteligence watu kama ninyi wataonekana lakini usisite kutoa jambo lingine ambalo unaona sio kwa taifa maana...
Upendo waambie baba zako mlio nao humo akina mbowe wakuelezee mwaka 2004 walipokuwa wanapitisha sheria ya malipo kwa raisi kutoka kwa hela ya serikali kutokulipiwa kodi walikuwa wamelala au?
Angalia cha kubadilishwa sio kusema raisi akatwe kodi, hapo unaonyesha uelewa mdogo ulionao na uwezo...
Frank Shega A.k.a JEDA aliwahi kushika nafasi ya tatu (3) Taifa akitokea shule ya sekondari ya wavulana Tabora (Tabora Boys) katika mchepuo wa PCM, Wana CoET UDSM ni mashaidi hata AUDe Kileo ni shaidi wa hili maana ni maclass mate UDSM katika course ya BSc. in Telecommunication Engineering...
@Machozi ya Simba, mawazo yako ni kufungua wengine pia lakini ikumbukwe kwamba kwasisi tuliomaliza zaidi ya 7 years ago ilikuwa si rahisi sana kusoma IT/CS bila kuwa na PCM yenye pass nzuri advance pia iliendana na ufaulu mzuri wa o'level, na tulijua kabisa watu waliofanya vizuri saana o'level...
Wanajamvi nawajuza tu kuwa meja jeneral mstaafu Bwana Mlitaba alipigwa risasi tano jana nyumbani kwake na watu wasiojulikana, ni masikitiko makubwa kwa Taifa na watu wenye nia mbaya ya kutaka kulitia doa taifa letu.
Meja jenerali huyo kwasasa yupo hospitali ya Lugalo kwa matibabu zaidi. Matukio...
Msemaji wa jeshi la Polisi Tanzania,Kamishna msaidizi Barnabas Mwakalukwa ameongea na kutoa taarifa kuwa,askari wa Interpol ambaye picha yake imesambaa mitandaoni kuwa ameonekana katika viunga vya Nairobi alisharudi nyumbani Tanzania.
Askari huyo alitiliwa mashaka sababu ya uwepo wa Tundu Lissu...
Nimeamini ficha hela kwenye karatasi kuna watu watakosa, kama huyu mtoa uzi wa leo. nimeamini pia kuwa kuna watu wanauelewa mdogo sana humu JF, sina uhakika kama umeajiliwa kihalali maana hujasoma mkataba wako vizuri na kuulewa naamini aliyekusainisha alisisitiza kama umeelewa vipengele vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.