Recent content by jmoses

  1. J

    JamiiForums Tanzania Niuzie toyota starlet new model kwa bei kidogo

    weka picha
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kutembea hadi miguu inataka kuisha, mwenye gari la milion 2 nanunua

    kuna watu hawana njaa kihivyo pia mwingine kapatwa na dharula ya kiuchumi anaweza uza gari zima kabisa kwa bei rahisi mwingine anauza gari baada ya kulichoka anataka kubadili gari lkn bado zima mie mwenyew natafuta starlet vitz au corolla kwa bei ya mil 3- 4 ukiwanayo nicheki kwa 0658 225305
  3. J

    JamiiForums Tanzania Niuzie toyota starlet new model kwa bei kidogo

    Natafuta starlet, vitz ,au corolla kwa bei ya mil 3 - 4.2 kutoka kwa mtu asie na njaa wala shida ya hela anaeamua kuuza gari zima kabisa kwa sababu tu anataka kununua lingine au amelichoka kama watu tunavyozichoka simu kila baada muda fulani unajisikia kubadilisha. plate no ianzie B au C...
  4. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    ukawa watachukua jimbo lake
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sababu sita kwanini kura yako uipe CCM na si CHADEMA

    manifesto kitu gani bhana wakati huduma za kijamii mbovu mnakula hela hadi mnasahau wananchi walio waweka hapo tofauti na Gadafi alikua fisadi lkn maendeleo yalionekana libya Kila uchaguzi mnakuja na sound mpya mara nguvu mpya kazi mpya ooh mara tingatinga mkichaguliwa hakuna lolote hali...
  6. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemsaliti mchumba wangu, nimueleze au nitunze siri hii?

    Huna haja ya kumwambia kwa kuwa hajui hayo ni mambo yako na Mungu wako ila wewe cha kufanya jisamehe mwenyewe pia omba toba ya kutoka moyoni na kutorudia tena pia kata mawasiliano na huyo mtu aliyekuangusha ukiendelea kuchat na itatokea tena acha kabisa kwani ulimwambia ww ni bikira?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vituo vitatu vya Televisheni (Star TV, Channel Ten na TBC1) vyapigwa faini, Vyaonywa

    na vipi kuhusu miziki inayoonyeshwa kwenye TV watu wamevaa vichupi
  8. J

    JamiiForums Tanzania Viwanja vipya vya bei rahisi vinapatikana wapi

    nashukuru wadau
  9. J

    JamiiForums Tanzania Viwanja vipya vya bei rahisi vinapatikana wapi

    Wapendwa jana niliona tangazo la tv, TBC kuwa kuna sehemu viwanja vinauzwa kwa bei rahisi kama elfu 20000 wakati naanza kulisoma lile tangazo likayeyuka. Je, kuna mtu mwenye taarifa zozote anisaidie.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mtume/Nabii Josephath Mwingira kufunga ndoa kwa gharama ya Mil200

    nyie wanafiki tu mnaomponda mna roho ya uchoyo na wizi na kutopenda mafanikio ya wengine mbona waumini wake hawalalamiki? mnakua wanafiki kama nyakati za Yesu yule mama alipotumia mafuta ya bei mbaya kupaka miguu ya Yesu badae jamaa wakasema eti.bora mafuta yangeuzwa hela wasaidie maskini kumbe...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja sehemu mbalimbali Dar es Salaam na maeneo ya Jirani

    vina ukubwa gani
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko baada ya roho kuachana na mwili

    Kwa kifupi mtoa mada unapotosha watu. Mtu akifa kinachofuata ni hukumu tu soma waebrania 9:27 Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja na baada ya kufa hukumu. Hapo unaona pia hakuna habari za toharani muda wa kutengeneza mambo ni hapa duniani ukiwa hai basi. Ni vema ukaokoka hata...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kununua gari kwa kutumia mkopo, kama mfanyakazi ni kujitia umasikini

    Wadau wa magari naomba nijulishwe kuhusu toyota starlet ubora wa hii gari uko vipi na je vipi huwa inamatatiyo ya kiufundi ?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kununua gari kwa kutumia mkopo, kama mfanyakazi ni kujitia umasikini

    na mimi ambaye sina gari kwa siku natumia hadi elfu 17 kukodi bajaji ili niwahi kupiga hela si bora niwe na gari la cc 999 kuna unafuu kuliko kukodi bajaji
Back
Top Bottom