Recent content by jmoon

  1. J

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Sioni sababu watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara

    Kama elimu yako haina impact kwa jamii ujue hata wewe haikusaidii. Tanzania ni sehemu ya jamii ya kimataifa, kama kuna kasoro kwenye uendeshaji wa nchi, basi hata wananchi wa mataifa mengine wanayo haki ya kuingilia kati kuondoa dosari kwenye tawala ambazo haziheshimu misingi na sheria za kimataifa.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ishauri Serikali Namna ya Kukusanya Kodi kwa Wasiolipa Kodi!

    Suala lingine kwenye biashara zetu kuna msururu mrefu wa wadai kodi. Halimashauri (leseni ya biashara), ushuru wa usafi, fire extinguisher, kodi ya mapato TRA - tena hawa kodi mixer (mapato, stamp, withholding kwa wenye ofisi za kupanga) nk. Ukiangalia hizi zote ni eidha taasisi za serikali au...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ishauri Serikali Namna ya Kukusanya Kodi kwa Wasiolipa Kodi!

    Mashine za kutolea risiti bei juu, makadirio ya kodi yapo juu, unategemea vipi kupata kodi! Makadirio ya kodi yawe 'very reasonable' kiasi kwamba mtu mwenyewe aone hata aibu kwa nini asilipe hiyo kodi. Lakini pia ili kuhamasisha matumizi ya hizi mashine za risiti, EFD, serikali iangalie jinsi ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mabakuli kurudi kapa; Serikali kuja na mpango wa kuongeza kodi

    Du, kama hii unaona ni kawaida basi tuna safari ndefu sana!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hello fam it is me beautiful girl

    Unajiamini na nini?
  6. J

    JamiiForums Tanzania DAWASA kurekebisha 'hali ya maji kuwa machafu', bili yake analipa nani? Ambapo bado machafu, tuchukue tahadhari gani?

    Da, ni hatari sana kuhalalisha uchafu kama huu kwamba serikali inaweza kufanya vyovyote na wananchi tukaridhika tu! Maji bado ni machafu hasa, sababu zinazotolewa na dawasa zilitakiwa zije na ufumbuzi wa hili tatizo. Wenzetu wa TBS issue kama hizi huwasikii kabisa wakati zinahusu afya za watu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Stend ya Mbezi kwa Magufuli kosa kubwa ni hili

    Upo sahihi. Huwezi kuwekeza kiasi kile kujenga stand halafu watu wanaikacha kwa ridhaa zao tu. Serikali lazima iwe na msimamo ili ikusanye mapato kupitia hii stand.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mtekaji wa Sativa inadaiwa yuko chini ya ulinzi

    Kama ni kweli, ni habari njema sana kwa jamii ya watu waliostarabika (watanzania). Nimekuwa nikifikiri kwamba jeshi lingechukua hata nchi ili kukomesha hivi vitendo vya utekajia, uuaji, rushwa na kuondoa kabisa hii kitu ya watu kubambikiwa makosa na kesi bila ushahidi. Jeshi lingetuelekeza...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumtrace mtu kupitia instagram au x/twitter ikiwa alijiandikisha kwa account fake

    Kwa Tz watendaji wote wanatekeleza maelekezo ya viongozi wao, usitegemee wao kufanya kinyume eti kwa vile tu wana elimu kuwazidi viongozi...una hamishwa kitengo fasta kama huzingatii maelekezo
Back
Top Bottom