PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Sioni sababu watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
lile kombe la kufunika saivi ndolinatakiwa lipite mwanaharamu afunikwe
 
Asha-Rose Migiro: Ndugu Kikeke, ni miaka 65 toka nchi yetu ipate uhuru wake. Unaamini kwamba mpaka sasa hatujitoshelezi? Miaka 65 tutafute watu kutoka nje? Hivi, tunawaamini zaidi watu kutoka nje watakaokuja kusimamia maslahi ya taifa letu? Na kama watatoka nje wakija hapa, watafanya kazi na nani?

Tunataka kusema kwamba bado tuko kwenye hali tunayopenda tuongozwe na taasisi za nje au vyombo vya nje kwa suala kubwa kama hili linalogusa maisha ya taifa letu? Uhai wa taifa letu?

Mimi ninaamini tuna weledi wa kutosha ndani ya nchi. Tuna watu ambao wana uzoefu mkubwa. Huo huo wa kimataifa unaotaka uletwe hapa, hawa, baadhi yao, wamechangia weledi ule kule nje. Kwa hiyo kwa hakika sioni sababu ya kutaka watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani.
Hajui tofauti ya "Kukosa utaalam na kutokuwa na weledi"?

Hajawahi kusikia msemo wa 'conflict of interest'?

Kiufupi hakujibu lolote. Kama ilivyo kawaida ya hawa watu kujitoa ufahamu!

Mtu umesoma, unayo elimu ya kutosha kuelewa swali unaloulizwa halafu unaamua kufanya ulaghai.

Hizo bandari wanazogawa ziendeshwe na watu kutoka nje; miaka 65 baada ya uhuru bado hatuna watu wa kuziendesha?
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Kuna watu wanasema kwamba pengine, kwa sababu ya huo utata kwamba Rais anateua Tume na ni watu wanaoweza kumwegemea upande wake. Pengine tungeleta watu kutoka nje, Tume ingekuwa huru zaidi ya Uchunguzi

Asha-Rose Migiro: Ndugu Kikeke, ni miaka 65 toka nchi yetu ipate uhuru wake. Unaamini kwamba mpaka sasa hatujitoshelezi? Miaka 65 tutafute watu kutoka nje? Hivi, tunawaamini zaidi watu kutoka nje watakaokuja kusimamia maslahi ya taifa letu? Na kama watatoka nje wakija hapa, watafanya kazi na nani?

Tunataka kusema kwamba bado tuko kwenye hali tunayopenda tuongozwe na taasisi za nje au vyombo vya nje kwa suala kubwa kama hili linalogusa maisha ya taifa letu? Uhai wa taifa letu?

Mimi ninaamini tuna weledi wa kutosha ndani ya nchi. Tuna watu ambao wana uzoefu mkubwa. Huo huo wa kimataifa unaotaka uletwe hapa, hawa, baadhi yao, wamechangia weledi ule kule nje. Kwa hiyo kwa hakika sioni sababu ya kutaka watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani.

Salim Kikeke: Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia kwa mfano nchi jirani ya Kenya, mwaka 2007 baada ya kutokea utata kwenye matokeo ya uchaguzi, walifika mahali wakahitaji msaada, na sisi Tanzania tulipeleka watu, watu kutoka Afrika Kusini pia walikwenda kujaribu kusuluhisha hilo. Na hilo ndilo ninapotokea na kusema kwa nini na sisi tusingeleta watu kutoka nje?

Asha-Rose Migiro: Ni kweli na sisi Tanzania viongozi wetu walishiriki Kenya wakati ule katika kuchangia utatuzi wa changamoto iliyowakabili baada ya uchaguzi wao.

Tanzania ni nchi ambayo ina uzoefu mkubwa sana katika usuluhishi wa migogoro. Unakumbuka chini ya Mwalimu Nyerere, migogoro ya Burundi. Tukaendelea alipoingia Rais Mkapa na yeye akashiriki katika usuluhishi, Mheshimiwa Rais Kikwete hali kadhalika.

Kwa hiyo Tanzania tunao uzoefu na tunafahamu kwamba tunaweza tukaenda nje, vivyo hivyo wapo wanaoweza kuja ndani lakini kwa mahitaji. Je, tunawahitaji? Kule nje hatukuenda tu, tukasema kwamba "unajua nini, sisi Tanzania ndio mabingwa tumekuja." Hapana, walituita. Na walituita pale ambapo walituhitaji. Haikuwa toka mwanzo kwamba walianza kusema kwamba "hapa sisi wananchi hapa hatuwezi kufanya chochote."

Na sisi Tanzania tunaweza kufanya chochote, na tumeonyesha tunaweza. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara, na sasa tuko kwenye mstari wa kuendeleza gurudumu la maendeleo. Changamoto hii itatizwa kwa uzito wake, lakini tuna weledi wa kutosha. Tuna uwezo wa kutosha wa kushughulikia suala hili."

Hawataki watu wa nje kwa kuwa system inawafabor wao. Kinachodaiwa kwa miaka ni haki na usawa kama tunaweza kujiamulia wenyewe mbona hatujafanya hivyo kwa muda wote huo..!?
 
Na sisi Tanzania tunaweza kufanya chochote, na tumeonyesha tunaweza. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara, na sasa tuko kwenye mstari wa kuendeleza gurudumu la maendeleo. Changamoto hii itatizwa kwa uzito wake, lakini tuna weledi wa kutosha. Tuna uwezo wa kutosha wa kushughulikia suala hili."
Wanachosema hawa wapumbavu ni kwamba hawakubali utatuzi wa matatizo ya nchi hii bila ya kupata shurubu litakalowapa akili vichwani.
"Vyombo vya ulinzi vilifanya kazi ya kutukuka Oktoba 29 kwa taifa letu" Asha Migiro

Kuua waTanzania ni "kazi ya kutukuka"!
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Kuna watu wanasema kwamba pengine, kwa sababu ya huo utata kwamba Rais anateua Tume na ni watu wanaoweza kumwegemea upande wake. Pengine tungeleta watu kutoka nje, Tume ingekuwa huru zaidi ya Uchunguzi

Asha-Rose Migiro: Ndugu Kikeke, ni miaka 65 toka nchi yetu ipate uhuru wake. Unaamini kwamba mpaka sasa hatujitoshelezi? Miaka 65 tutafute watu kutoka nje? Hivi, tunawaamini zaidi watu kutoka nje watakaokuja kusimamia maslahi ya taifa letu? Na kama watatoka nje wakija hapa, watafanya kazi na nani?

Tunataka kusema kwamba bado tuko kwenye hali tunayopenda tuongozwe na taasisi za nje au vyombo vya nje kwa suala kubwa kama hili linalogusa maisha ya taifa letu? Uhai wa taifa letu?

Mimi ninaamini tuna weledi wa kutosha ndani ya nchi. Tuna watu ambao wana uzoefu mkubwa. Huo huo wa kimataifa unaotaka uletwe hapa, hawa, baadhi yao, wamechangia weledi ule kule nje. Kwa hiyo kwa hakika sioni sababu ya kutaka watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani.

Salim Kikeke: Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia kwa mfano nchi jirani ya Kenya, mwaka 2007 baada ya kutokea utata kwenye matokeo ya uchaguzi, walifika mahali wakahitaji msaada, na sisi Tanzania tulipeleka watu, watu kutoka Afrika Kusini pia walikwenda kujaribu kusuluhisha hilo. Na hilo ndilo ninapotokea na kusema kwa nini na sisi tusingeleta watu kutoka nje?

Asha-Rose Migiro: Ni kweli na sisi Tanzania viongozi wetu walishiriki Kenya wakati ule katika kuchangia utatuzi wa changamoto iliyowakabili baada ya uchaguzi wao.

Tanzania ni nchi ambayo ina uzoefu mkubwa sana katika usuluhishi wa migogoro. Unakumbuka chini ya Mwalimu Nyerere, migogoro ya Burundi. Tukaendelea alipoingia Rais Mkapa na yeye akashiriki katika usuluhishi, Mheshimiwa Rais Kikwete hali kadhalika.

Kwa hiyo Tanzania tunao uzoefu na tunafahamu kwamba tunaweza tukaenda nje, vivyo hivyo wapo wanaoweza kuja ndani lakini kwa mahitaji. Je, tunawahitaji? Kule nje hatukuenda tu, tukasema kwamba "unajua nini, sisi Tanzania ndio mabingwa tumekuja." Hapana, walituita. Na walituita pale ambapo walituhitaji. Haikuwa toka mwanzo kwamba walianza kusema kwamba "hapa sisi wananchi hapa hatuwezi kufanya chochote."

Na sisi Tanzania tunaweza kufanya chochote, na tumeonyesha tunaweza. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara, na sasa tuko kwenye mstari wa kuendeleza gurudumu la maendeleo. Changamoto hii itatizwa kwa uzito wake, lakini tuna weledi wa kutosha. Tuna uwezo wa kutosha wa kushughulikia suala hili."
Upumbavu mtupu! Kwamba sisi ni kapu la mjanja, mjinga hatii mkono? Sisi sawa kushiriki kuwakwamua wenzetu, lakini sisi hatuhitaji msaada wao. Akili ya kijuha sana hii.

Mazafakas wanafanya kila wawezalo kukwepa uwajibikaji.
 
Tatizo kubwa lililopo ni kwamba anayeunda hizi tume anatuhumiwa kwamba ndiye mhusika mkuu wa matukio ya 29/10.

Jingine ni kwamba matokeo ya tume ya Jaji mkuu mstaafu mheshimiwa Chande, pamoja na kujaza vingunge kibao, imekuja na ripoti ambayo ni bora hata wasingeiita ni ripoti.

Ili kuondoa kadhia hiyo ya kuja tena na taarifa kama ya chande ni bora tuchukue watu kutoka mataifa mengine wasio na upendeleo.

Hata mechi ya simba vs yanga tulichukua waamuzi kutoka nje si kwa sababu hatuna waamuzi bora bali kuondoa suala la upendeleo.
 
Huwezi kuua wananchi wako kikatili halafu unasema usipangiwe cha kufanya na watu kutoka nje, nini maana ya taasisi za kimataifa kama ICC? taasisi za haki za binadamu..n.k
 
Kikeke uchebe hauna mvi.! London Boy yupo vizuri anazidi kuwa kijana 🤗

Halafu aache kuhoji vichawi vitamuambukiza uzee
 
Vibibi kama huyo ASHA(vigagula)huwa vinabwabwaja ujingaujinga ili vitukanwe vianze kujiliza na kushitaki mahakamani.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Kuna watu wanasema kwamba pengine, kwa sababu ya huo utata kwamba Rais anateua Tume na ni watu wanaoweza kumwegemea upande wake. Pengine tungeleta watu kutoka nje, Tume ingekuwa huru zaidi ya Uchunguzi

Asha-Rose Migiro: Ndugu Kikeke, ni miaka 65 toka nchi yetu ipate uhuru wake. Unaamini kwamba mpaka sasa hatujitoshelezi? Miaka 65 tutafute watu kutoka nje? Hivi, tunawaamini zaidi watu kutoka nje watakaokuja kusimamia maslahi ya taifa letu? Na kama watatoka nje wakija hapa, watafanya kazi na nani?

Tunataka kusema kwamba bado tuko kwenye hali tunayopenda tuongozwe na taasisi za nje au vyombo vya nje kwa suala kubwa kama hili linalogusa maisha ya taifa letu? Uhai wa taifa letu?

Mimi ninaamini tuna weledi wa kutosha ndani ya nchi. Tuna watu ambao wana uzoefu mkubwa. Huo huo wa kimataifa unaotaka uletwe hapa, hawa, baadhi yao, wamechangia weledi ule kule nje. Kwa hiyo kwa hakika sioni sababu ya kutaka watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani.

Salim Kikeke: Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia kwa mfano nchi jirani ya Kenya, mwaka 2007 baada ya kutokea utata kwenye matokeo ya uchaguzi, walifika mahali wakahitaji msaada, na sisi Tanzania tulipeleka watu, watu kutoka Afrika Kusini pia walikwenda kujaribu kusuluhisha hilo. Na hilo ndilo ninapotokea na kusema kwa nini na sisi tusingeleta watu kutoka nje?

Asha-Rose Migiro: Ni kweli na sisi Tanzania viongozi wetu walishiriki Kenya wakati ule katika kuchangia utatuzi wa changamoto iliyowakabili baada ya uchaguzi wao.

Tanzania ni nchi ambayo ina uzoefu mkubwa sana katika usuluhishi wa migogoro. Unakumbuka chini ya Mwalimu Nyerere, migogoro ya Burundi. Tukaendelea alipoingia Rais Mkapa na yeye akashiriki katika usuluhishi, Mheshimiwa Rais Kikwete hali kadhalika.

Kwa hiyo Tanzania tunao uzoefu na tunafahamu kwamba tunaweza tukaenda nje, vivyo hivyo wapo wanaoweza kuja ndani lakini kwa mahitaji. Je, tunawahitaji? Kule nje hatukuenda tu, tukasema kwamba "unajua nini, sisi Tanzania ndio mabingwa tumekuja." Hapana, walituita. Na walituita pale ambapo walituhitaji. Haikuwa toka mwanzo kwamba walianza kusema kwamba "hapa sisi wananchi hapa hatuwezi kufanya chochote."

Na sisi Tanzania tunaweza kufanya chochote, na tumeonyesha tunaweza. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara, na sasa tuko kwenye mstari wa kuendeleza gurudumu la maendeleo. Changamoto hii itatizwa kwa uzito wake, lakini tuna weledi wa kutosha. Tuna uwezo wa kutosha wa kushughulikia suala hili."
Maana yake watu/ Wanandoa wakiuana ndani mahakama isiingilie. Ni swala la ndani!
 
Enzi zile tunasoma majina kama asharoz yalikua yanaogopewa. Yani walikua wanaonekana binadamu spesho wenye akili spesho.
Ila sasahivi daah!
 
Kama elimu yako haina impact kwa jamii ujue hata wewe haikusaidii. Tanzania ni sehemu ya jamii ya kimataifa, kama kuna kasoro kwenye uendeshaji wa nchi, basi hata wananchi wa mataifa mengine wanayo haki ya kuingilia kati kuondoa dosari kwenye tawala ambazo haziheshimu misingi na sheria za kimataifa.
 
Ila jamani Migiro mbona alishafika peak ya juu kabisa ktk masuala ya uongozi.

Kuwa naibu katibu mkuu wa UN, alihitaji nini kingine? Hadi afikie hatua ya kuwa Chawa namna hii?

Au ndio hulka yetu wabongo, hatujui kuridhika kabisaa, Lol.

Anaishia kuwa wa hovyo dakika za jioooniii.
Duuuh
Ana sababisha Ban Kim Moon kuonekana alifanyia makosa kupendekeza Jina lake.
 
Mambo yenu ya kuua watu ndo hamtaki muingiliwe?
 
Kuwaamulia mambo gani nyie chukuwachakomapema?!
Kwamba mkituteka, mkitudhalilisha, mkituua raia wasitutee?! Mkiiba rasilimali na maliasili na kujishibisha nyie na familia zenu bila kutujali siye raia wasiseme?!
Na bado...
 
Back
Top Bottom