Recent content by jmec

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania matatizo ktk ndoa.

    cku hiz hakuna mpenz ya dhat ktk ndoa,weng wanasaka kampany na wengne rizk upendo wa kwel amna.hivyo m2 akiona mambo ayanyok kama alivyotegemea anaamua kusepa au kujivurugua.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Cancer inachukua maisha yangu

    mkuu pole sana'kuwa na iman na jitiada ktk kukabiliana na uo ugonjwa utapona amin utapona.
  3. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umbali kati ya wapenzi ni chachu ya usaliti

    chovya*2 umaliza buyu la asali'ukiusudu kamchezo na mimba zisizotarajiwa upatikana hapo,kubadilika kitabia na hata kupoteza mawasiliano na ndio chanzo cha wa2 weng kuachana na kuish na m2 asie chaguo lake.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nimeku "miss" kwa kiswahili

    maana ya ku(miss) ni "kosekana" au "kutokuwepe sehem furan tarajiwa"
  5. J

    JamiiForums Tanzania Asili Ya Green Guard Ya CCM na Changamoto Kwa CHADEMA

    kwa upande mwingne vikund hiv vilipokuja kuundwa lazma viliweka waz malengo muundo na mtazamo wa jumla,wa kuwapo na uwendeshwaj wake' labda ingekuwa busala 2ngepata dhima ya kila kundi ndio 2kajua kama wako sawa kwa maslah ya umma au ya nan zaid na madhara yake kwa baadae.au vip?
  6. J

    JamiiForums Tanzania NCCR Yakunjua makucha yake: Mbatia akerwa na Red Brigade ya CHADEMA

    mmh 'ukiona mosh unafuka ujue kuna moto'uctie mkono utaungua. cdm inawakimbza ,hizo ni kaul za mkosaji.
Back
Top Bottom