Recent content by jmchimbadhahabu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Hii dawa ilishapatikana ,nipo nahangaika na tatzo la allergy kwa miaka mitatu sada
  2. J

    JamiiForums Tanzania Urgently ; I need a psychologist

    Don't dare to be trapped into gambling. When addicted, you be like drug addicts;if you don't gamble you feel like something is not ok into your body.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Urgently ; I need a psychologist

    Man,your not alone. Just last year I lost everything I accumulated for over the past 5 years through gambling. I sold my house,plots,V8 and ended up on severe Bank and personal loans. I went through difficulty time and planned to commit suicide several times. I thank God, I'm rejuvenating...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wafanyabiashara kusikilizwa. Wachimbaji wadogo kanda ya ziwa nao wasikilizwe

    Upo sawa kabisa. Lakini mbona Mwakitolyo inawezekana kwa Wachimbaji kuchukua 90% na wamiliki 10%? Why not maeneo mengine kama migodi ya wwchimbaji wadogo kahama nk
  5. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wafanyabiashara kusikilizwa. Wachimbaji wadogo kanda ya ziwa nao wasikilizwe

    Hii akili wangelikuwa nayo akina Nyerere,Nkwame nk hili bara lingekuwa bado chini ya wakoloni.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wafanyabiashara kusikilizwa. Wachimbaji wadogo kanda ya ziwa nao wasikilizwe

    30% kuna watu huwa wanajiita wenye LESENI. Hao ndio huwa wanakula hii. Hawaweki hata sumuni kwenye uzalishaji ila siku ya kuondoa mawe yako utawaona na vitambi vyao na stick mdomoni na maji ya Jambo mkononi wanataka 30% na hawataki kujua umetumia kiasi gani au ulichozalisha kina nini??
  7. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wafanyabiashara kusikilizwa. Wachimbaji wadogo kanda ya ziwa nao wasikilizwe

    Kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa Wachimbaji Wadogo wa dhahabu kwa miaka mingi bila kutatuliwa. Tusipojifunza kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo tutegemee maandamano mengine ya wachimbaji wadogo. Baadhi ya Malalamiko yao ni 1. Kulipa kadi(mrahaba) zaidi ya mara 2, mchimbaji hukatwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi UVCCM: Mjue kijana Thobias Mwesiga Richard

    Una akili kubwa sana
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Shinyanga Jimbo la Msalala IDD 327,√ MAIGE 118, MGEJA 75, MAHONA 53
  10. J

    JamiiForums Tanzania Differences between a Lawyer and an Advocate (Tanzanian perspective)

    Tofauti ya Jaji na Hakimu ni ipi?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji Wadogo Kakola No2 na No 9 Wafukuzwa kwa Kupewa Siku mbili Zibakie Ndege Tu

    Boss hatujaomba huruma yako ni taarifa tu.
Back
Top Bottom