Recent content by jmabulla

  1. J

    Mwili wa Alphonce Mawazo wageuzwa kuwa suala la kisiasa

    Batili,wewe huwezi fahamu yaliyotokea jimbo la Busanda hadi kusababisha hayo yaliyotokea. Tuulize sisi wakazi na wapiga kura wa jimbo hilo ndo tunaufahamu ukweli wa yaliyotokea hadi wakatupoka ushindi. Ni mabavu,ubabe na uharamia ndo ulitumika kuchukua jimbo hilo!!!
  2. J

    Mwili wa Alphonce Mawazo wageuzwa kuwa suala la kisiasa

    Erthrocyte upo sahihi!!!! Binafsi nilishafiwa na ndugu zangu wa kuzaliwa,niliumia lakini ilifika kipindi nikazoea,lakini msiba wa Alphonce Mawazo umenipa wakati mgumu sanaaaa! Huwezi /hamuwezi amini kila niionapo picha yake au comments zozote zinazoongelea chochote kuhusu AC Mawazo,ninasongwa...
  3. J

    Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

    Jamani,kweli mimi mwenzenu kila nionapo makala , habari yoyote au picha ya kamanda Mawazo Alphonce,moyo unauma saana kwa uchungu na machozi hutoka nonstop!!! Kifo chake kimenitia simanzi sana jamani!!! Ninawiwa,ninaahidi kuvaa viatu vyake ili kuenzi yote aliyoyaanzisha!!!! Aluta continua...
  4. J

    Watu wanne wanashikiliwa na Polisi Mkoani Geita kwa tuhuma za mauaji ya Alphonce Mawazo

    Mimi ninaomba saaana kama kweli hii serikali inatenda haki kwa raia wake ianze na huyu mtu anayeitwa tang'ana inaonekana anachuki ya hali ya juu dhidi ya marehemu wetu. Serikali ikumulike wewe tuujue ukweli wake.
  5. J

    CHADEMA wawe makini: Kuna chuki binafsi, Fitna kwa mama Anatropia Segerea

    Jamani,fitina na chuki hazijengi bali huchangia kuondoa umoja na mshikamano!! Dada huyu ninavyomfahamu mimi,aliamua kuacha kazi ili kuimarisha chama na 2014 segerea iliibuka kidedea katika chaguzi za serikali ya mitaa chini ya uongozi wake mheshimiwa annatropia! kUMBUKENI kule migombani segerea...
  6. J

    Pigo lingine kwa Lowassa Arusha, watu 10,000 kutoka CHADEMA Wamehamia CCM

    Mr chini bana! sijui huwa unavuta bangi mtoroko:bowl:!!!! Simply because,threads zako haziendani na hadhi yako kabisa,so sometimes huwa najaribu kukuumba nipate structure ya muonekano wako:typing:!! Hapa unataka ku delute issue ya yaliyotokea Bukoba jana katika kata nzima ya kahororo nini? Kwa...
  7. J

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    acha kuweweseka weweeee!!! acheni kitengo husika kifanye kazi yake! Wee ni nani hadi uanze kutoa ripoti ya kifo cha Rev. late ???? Tata madiba, acha kujaribu kuingilia mamlaka ya uchunguzi otherwise, tunakuomba u declare kwamba nawe ni mchunguzi na kama sivyo, acha kupotosha umma. Vyombo husika...
  8. J

    Baadhi ya majimbo ya Kanisa Katoliki kusali(misa) Jumamosi (24/10/2015)

    nawaunga mkono tec 100%!!!! Waumini wenzangu,tuabudu jmosi ili jpili iwe kazi moja tu. Kuwahi vituoni tukapige kuraaa!!! Usimsahau na jirani yako, hakikisha unaambatana na watu zaidi yakumi ili tukafanye mabadiliko ktk sanduku la kura.
  9. J

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    maskini watu wa kijani,mbona mmepanic sana??? Mohamed mtoi alipopata ajali na kufariki tuliamini ni mapenzi ya mungu na tulilipokea jambo hilo na kulikubali. Iweje leo afariki binadamu kama alivyokuwa aliyetangulia watu waanze kutuletea hadithi za kifo cha kupangwa??? Kumbukeni ndugu zangu...
  10. J

    Sijajisaidia kinyesi cha njano muda mrefu,nakunya cha kijani tu.

    HIYO NI DALILI TOSHA YA KUKUONYESHA KWAMBA,U CCM UNATOKA MWILINI MWAKO NA UNAKWENDA KUPOKEA UPAKO WA MABADILIKOOOOOO!!! TOROKA UJE UONANE NA DAKTARI KITENGO CHA UKAWA:A S-cry::A S-rap::peace::peace::peace:!!!
  11. J

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea Mwenza wa urais kupitia CCM, Samiah Suluhu

    Mimi ningekuwepo ningemwomba kwanza atueleze, kwanini alishinikiza na kusimamia uchakachuaji wa maoni ya rasmi ya katiba pendekezi ya wananchi kwenye bunge la katiba?? Mama samia huyuhuyu akiwa mwenyekiti wa bunge hilo akishirikiana na akina Mr.Joka la makengeza aka mr. vijisenti pamoja na...
  12. J

    Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

    toroooooooooooooooooka uje ukawa eee mtanzania mpenda mabadiliko!! Hiyo ni slogan tetemeko a.k.a scud la funga campain linalokwenda kuzinduliwa leo hii 30th sept,2015 na le jude lion mzee wa maamuzi magumu lwaigan lowasaa na utekelezaji rasmi utaanza keshooooo!!!!!! Mtanzania...
  13. J

    Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

    nipo busanda kwa muda huu,huku ni kamanda mawazo alphonce na lowasaa wana ng'araaa hatareee!!!!
  14. J

    Kilichojiri Tanga hiki hapa

    naichukia ccm mpaka nahisi kuugua!!! Hata mseme nini,tumeamua ni mwendo wa mabadiliko tuuuuuuu!!! Mmesababisha umasikini,ulofa na mengine mengi halafu mnataka tuwape kura???? Mppyuuuuuuuuuuuuuuw!!! Tunataka mabadiliko .period!!
  15. J

    Mchaka mchaka mpaka Ikulu Musoma mjini

    natamani kamanda mawazo alphonce mbunge mtarajiwa wa jimbo la busanda aunganane na akina lembeli wapige kazi ya toroka ujeeeeeee!!!!!! Kaazi ndiyo imeanzaaaaaaaa!!! Mabadilikoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo!!!
Back
Top Bottom