Mapepo hayo, aende kwenye makanisa ya Shiloh kusali hata mara tatu kwa wiki atabadilika. Mke wangu mm alikuwa na tatizo hilo for 7 yrs now yupo k. Lkn ibada na sara ni kila wakati, ndiyo maisha.
Mm nilifikiri utasema, wahaya wanatisha sana kwenye Ujasiriamali na kuwa na investments kubwakubwa, kumbe issue Za darasani tu Kwa elimu ya kusubiri kuajiriwa! Katika mikoa bora Kwa umasikini Tz, huo nao humo. Sasa what do u mean by Education?!, Tuitumie elimu kupunguza umaskini unaotuzunguka
Pole sana ndg yangu. Katika kipindi hiki cha Mapambano omba sana Mungu kuwa mwangalifu/makini sana. Wachawi ni watu wabaya sana, mm mke wangu alishafanyiwa hivyo na mwanamke mwingine for more than 7 yrs lkn coz nilikuwa karibu na Mungu atimaye nikigundua na kuanza kushughulikia. Tatizo wachawi...
Fanya biashara, tafuta pesa huku ukiandaa ndoa yako coz hata mtumishi Wa Umma ili apate mafanikio halali lazima afanye shughuli nyingine. Ili kuweka usimamizi Wa karibu machache ya darasani yabadirishe yakusaidie mtaani kuishi kijasiriamali. Mm mwenzio ninaelimu nzuri tu lkn bado vyuma vimekaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.